Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Sikujua waTanzania tumefikia hatua ya kufurahia kifo cha mtu kama taifa tuangalie wapi tulipojikwaa.

Hata kama unamchukia lakini tusifike kugombea na kifo au kufurahia kifo cha yoyote
 
Kabisa hata Mimi nawashangaa hawa ndugu zetu,ndo tumefikia hatua hii kweli!!!
Sikujua waTanzania tumefikia hatua ya kufurahia kifo cha mtu kama taifa tuangalie wapi tulipojikwaa.

Hata kama unamchukia lakini tusifike kugombea na kifo au kufurahia kifo cha yoyote
 
Kwahiyo nchi hii kuna mafisadi wazalendo na mafisadi wasio wazalendo ?
 
Mungu baba uketiye mahali pa siri palipotukuka licha ya kwamba binadamu kifo kaumbiwa,nakemea mabaya yote yanayonenwa dhidi ya mtumishi wako JJ,Magufuli ,mpe maisha marefu ,wabaya waspate pa kusemea,mlinde daima .mjalie afya njema huko aliko,Amen.
 
Tundu kama namwona vile ananyatianyatia...basi ni uchovu tuu majipu yamezidi Leo katumbua watu kadhaa chapu!!
 
Duuh kuna wadau ni wauwaji kabisa humu hata miandiko yao tu inatisha. Watanzania tubadilike tusifike huko daah...
 
Comments na topic bado sijaelewa. Kwani rais amekufa? Nataka kujua maana comments ziko tofauti na mada husika
 
Sikujua waTanzania tumefikia hatua ya kufurahia kifo cha mtu kama taifa tuangalie wapi tulipojikwaa.

Hata kama unamchukia lakini tusifike kugombea na kifo au kufurahia kifo cha yoyote
sisi wanaccm tulisubiri kwa hamu sana kifo cha Lissu,hata huyo mtu wetu alisubiri kwa hamu kifo cha lissu,basi sasa acha na wengine wasubirie kwa hamu kifo chake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…