Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Mafisadi Wazalendo nao vipi?
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]??
tapatalk_1543609219191.jpeg
 
Pamoja na akili zako kuwa ndogo!hapo umekosa sana!katubu
Mbona nyie wale mnaowapa lebo ya "usaliti" mnataka kuwatanguliza haraka haraka, yoyote anaye stahili kufa na mtoa roho israel afanye kazi yake haraka bila kubagua, wengi wameshatangulia na wote tuko njiani japo kuna wengine wanajitahidi sana kuwahisha wenzao wakizani wao wanaspecial permit ya kutoka aliye juu kuishi milele.
 
Zitto ndiye Kigogo na Kigogo ndiyo Zitto mkuu !!

Huyu kigogo ni mtu anayejijua mwenyewe tu, kila siku tunasikia watu wana guess mara huyu mara yule. Kigogo2014 popote ulipo zama kichakani zaidi na kamaflage ya hari juu ukiwachora tu na kututupia madini.
 
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Mafisadi Wazalendo nao vipi?
 
Bila kuwasahau mabeberu na wapiga dili, RIP jiwe

Back
Top Bottom