Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hii ni barua Msigwa ameambiwa aandikeAlikuwa hukuView attachment 1238488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni barua Msigwa ameambiwa aandikeAlikuwa hukuView attachment 1238488
Mungu ajarie kama kuna lolote bayaHakika
Kupata clips zao itabidi uwe na connection moja ya hatariwatafanywa kama menina alivofanywa, waache waendelee tuu
SureSiyo hekima kuyafurahia matatizo ya mwenzako hata kama mnatofautiana kwa kiwango gani.wote sisi tuna mabaya yetu hata watoto wetu kwenye familia zetu sometimes kuna wakati wanatuchukia ila hawatuombei mabaya kama tunavyojaribu kuwaombea wenzetu.
Tuwe na mioyo tusiongozwe na hisia!!;
Na kama halipo, lipo njiani linakuja faster.....
Labda ili kipatikane cha kuuambia umma kilichochujwa
Hata JK aliwahi kuombewa itikafu ili afe, ila leo tunaambiwa na rais bora kuwahi tokea. Hakuna jipya kwa akili za watanzania
Tabia ni ngoziAkipata nguvu natamani apitie huu uzi kuna la kujifunza.HUU UZI UNAMPIMA ALIVYO VICHWANI MWA WATAWALIWA WAKE.
Huyo sio kigogo, ni imposter anajaribu kumu outsmart kigogo originalNdio wamebaki kuombana papuchi View attachment 1238457View attachment 1238458
kwa barua ya msigwa?[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji441][emoji441][emoji445][emoji443][emoji445][emoji443][emoji445] Hatimaye Mungu kamshinda shetani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]View attachment 1238464
Tangia Jana nimeupima ukomavu wa kiakili wa watanzania wengi, kweli tuna safari ndefu. Niliowadhania miaka ya mbele wanaweza kuliongoza Taifa hili, wamethibitisha uchanga wa kifikra na utoto wao.Na likatokea la kutokea,na wengi wenu,kwa umoja wenu usio rasmi,
Tumewaona kule tweeter tangu jana na all day leo.
Ni kama kuna jambo mnalolishabikia kuhusu afya ya kiongozi fulani wa nchi hii.
Wanasiasa na wanaharakati uchwara kina fatma karume,zitto kabwe,maria sarungi na kundi lenu la kigogo!
Wote mko kule tena mkichagizana kama tukio zuri sana mnalisubiri litokee na ili furaha yenu itimie.
Kwa ushabiki ule mtakuja kulalamika na madhara uanayoweza kuwapata kutoka kwenye jamii ya watakaoudhika na aina ya ushabiki wenu,tena kwenye mambo ambayo inaelekea mnayajua nyinyi wenyewe kwa undani?
Anyway natoa angalizo na mod"s naomba msiufute uzi huu ili siku zijazo uwe shahidi wa ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu hawa wasiojitambua..
VIVA TANZANIA [emoji1241]
Watapotea wao na nitashangilia!Na likatokea la kutokea,na wengi wenu,kwa umoja wenu usio rasmi,
Tumewaona kule tweeter tangu jana na all day leo.
Ni kama kuna jambo mnalolishabikia kuhusu afya ya kiongozi fulani wa nchi hii.
Wanasiasa na wanaharakati uchwara kina fatma karume,zitto kabwe,maria sarungi na kundi lenu la kigogo!
Wote mko kule tena mkichagizana kama tukio zuri sana mnalisubiri litokee na ili furaha yenu itimie.
Kwa ushabiki ule mtakuja kulalamika na madhara uanayoweza kuwapata kutoka kwenye jamii ya watakaoudhika na aina ya ushabiki wenu,tena kwenye mambo ambayo inaelekea mnayajua nyinyi wenyewe kwa undani?
Anyway natoa angalizo na mod"s naomba msiufute uzi huu ili siku zijazo uwe shahidi wa ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu hawa wasiojitambua..
VIVA TANZANIA [emoji1241]
Ulishangilia au kuchukizwa na kitendo cha kumpiga risasi Tundu Lissu?Na likatokea la kutokea,na wengi wenu,kwa umoja wenu usio rasmi,