Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Alikuwa huku
1D0C49FC-4965-4360-82E3-5DF2737318C3.jpeg
 
Kelele za Chura hazimzui Tembo kunywa maji..
Sio vyema kujitokeza kuchangia au kusema kitu kisichojulikana.
 
Siyupo Lindi au na nasikia pana uteuzi umefanyika Leo si Mzee kaufanya au
Nadhani hawa kina Kigogo hawajui wa tendalo! Wako kwenye research ambayo title yake hatuijui! Labda yaweza kuwa kusoma uzwazwa wa wabongo kubeba jambo lilivyo au la kusoma mood ya wabongo kwa muhusika
 
Anamaanisha nini huyu ndugu na haya mafumbo yake, hata Zitto nae simwelewi leo kapost picha ya mama Samia, sijui hata
View attachment 1237148
Mamaaaa mamaaaa mamaaaaa ! Mamaaaa huyo mamaaaaa mamaaa huyooo mamaaa huyooo! Nyambafuuuu - haya isiraeli maliza kazi tujimwage majiani sasa kushangilia kama Diatta kafuga goli yaani

Yaani katika topic nilimuelewaga sana mwalimu wangu wa biology mama Matimbwa pale Mkwawa ni jinsi hii kitu inafanya kazi. Basi tu sikuwa dokta

Najisikia raha sana kusoma ibara ya 37(5) ya katibu yetu tukufu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Najimwambafai sanaaaa yaani kuisoma - eeeh Mungu wa Isaka na Yakobo na iwe kama mapenzi yako yatakavyo..

View attachment 1237738

Zitto Kabwe kabakisha hizi siasa za kipumbavu!
 
mlishangilia mlipomtundika lissu shaba, zamu yenu sasa malipo hapa hapa duniani farasi nyie
 
Na likatokea la kutokea,na wengi wenu,kwa umoja wenu usio rasmi,
Tumewaona kule tweeter tangu jana na all day leo.

Ni kama kuna jambo mnalolishabikia kuhusu afya ya kiongozi fulani wa nchi hii.

Wanasiasa na wanaharakati uchwara kina fatma karume,zitto kabwe,maria sarungi na kundi lenu la kigogo!
Wote mko kule tena mkichagizana kama tukio zuri sana mnalisubiri litokee na ili furaha yenu itimie.

Kwa ushabiki ule mtakuja kulalamika na madhara uanayoweza kuwapata kutoka kwenye jamii ya watakaoudhika na aina ya ushabiki wenu,tena kwenye mambo ambayo inaelekea mnayajua nyinyi wenyewe kwa undani?

Anyway natoa angalizo na mod"s naomba msiufute uzi huu ili siku zijazo uwe shahidi wa ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu hawa wasiojitambua..

VIVA TANZANIA [emoji1241]
Mkuu tatizo lako Unataka hisia zako ziwe hisia za taifa zima, hata akifa acha afe tu, Tanzania ipo na itaendelea kuwepo tu ,kwani akifa yeye na Tanzania itakufa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom