Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Jiwe yuko salama na ni mzima anadunda.
Na kama anaumwa, basi anaumwa kama binadamu wengine wote wanavyoumwa, si ugonjwa wala tatizo la kutisha mpaka kupelekea mtanzuko kati yetu.
Akipona, kama ataiona komenti yangu hii, wale wote waliokuwa wanafurahia na kumuombea hali yake kuwa iwe mbaya zaidi, napendekeza afanye mpango wa kuwafungulia mashitaka ya uhaini (itapendeza zaidi ikiwa watatekwa).
 
Tunamuombea Tundu Antipas Lissu aishi maisha marefu Amina.
Kama Bible isemavyo siku zao wasio haki zitafupishwa. Mungu si mwanadamu hata aseme uongo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…