minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Usikute utabiri wa Lema ukatimia sasaLeo ndio nimesikiliza haya maono ya Lema hadi nikatetemeka kwa woga.View attachment 1238526
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute utabiri wa Lema ukatimia sasaLeo ndio nimesikiliza haya maono ya Lema hadi nikatetemeka kwa woga.View attachment 1238526
Duhhhafe tu maana na yeye ameua wengi afe kabisa kufa kabisa magufuli
Mleta mada ndiye Adui namba one wa mtukufu magufuliNadhani wewe mleta mada ndiye haswa unayemuombea hicho kifo.
Nyuzi kama hizi mnazitoaga wapi?
Hotuba ijayo ya mtukufu itakuwa moto lazima ateme cheche na vijembe kwa wingi
Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Vipi ndugu yako nyaulingo umeenda kumuona Hospt amepona miguu yake? jicho limepona?Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Ni wew kweli umeandika haya au kuna mtu kaiba simu yakoMwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Aibu yao akina Kigogo, Zitto Kabwe, Lema nilioona wanaandika ujinga.
Hii ni barua Msigwa ameambiwa aandike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeLife tu
Swissme
Akuteue kanafasi kokote!Jiwe yuko salama na ni mzima anadunda.
Na kama anaumwa, basi anaumwa kama binadamu wengine wote wanavyoumwa, si ugonjwa wala tatizo la kutisha mpaka kupelekea mtanzuko kati yetu.
Akipona, kama ataiona komenti yangu hii,
Ni wew kweli umeandika haya au kuna mtu kaiba simu yako