HahaaHonestly last week I had a dream of a farewell mass to mr President at St Joseph Cathedral. Mama Janet was wrapped ya in vitenge.
Kafika yupo ICU kaanza matibabuUjerumani atafika kweli? Au wanatimiza wajibu wajitoe lawama
Toka lini mawe yakaugua?
Jiwe laliwezi kuugua!
Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
hata kwenye Tv zao sijaonaLeo hakuna ziara za Rais ?
Zote wamezuia imebakia kushi kwa tetesi tu mpaka Radio na Tv za huko ulaya zikitangaza!
!
Vipi Hakuna Breaking News Yoyote Huko?
Utangulie wewe tena kwa mwendo kasi!
!
Nasubiri Breaking News Tu Kwa Hamu
Vipi kama angekuwa ndo baba yako mazazi?
Mkuu hayo mafisadi tunaendelea kuyanyoosha mpaka yakome kabisa kuiba mali za umma!Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.
Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.
Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.
Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.
Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Pengine kaamua kuficha aone Sensa ya watanzania wanaompenda kisha aje kivingine pindi akiponahata kwenye Tv zao sijaona
No nimefurahi kukuona..thus itVipi unasumbuka?
Angalieni na signView attachment 1238592
Unaongelea Rais yupi?Mi naona ni story tu kama story zingine,,,,,,and trust me,,,,Rais ni mzima wa afya
Wewe unakufa usiku wa leo dada jiandae kiroho!!Honestly last week I had a dream of a farewell mass to mr President at St Joseph Cathedral. Mama Janet was wrapped ya in vitenge.
Vipi ndugu yako nyaulingo umeenda kumuona Hospt amepona miguu yake? jicho limepona?