Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mi naona ni story tu kama story zingine,,,,,,and trust me,,,,Rais ni mzima wa afya
 
Write your reply..Kama baba wa taifa hayati Mwl Nyerere alifariki, atakuwa huyu marehemu baba wakambo mzee meko! hata akipona atakuwa amepata majibu jinsi gani hatakiwi!
 
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Mkuu hayo mafisadi tunaendelea kuyanyoosha mpaka yakome kabisa kuiba mali za umma!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom