Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Huyo rafiki wa nyaulingo siku hizi hasemi ukweli si omeona hata habari za nyaulingo anazificha
Aiseee......jamaa sidhani kama ana ukweli dhahiri juu ya hili......ni swala kubwa sana hili hawezi lipata kirahisi rahisi hivo
 
Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.
We, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!
 

Kumbe kuna mafisadi wazalendo! Ni kina nani hao, au ni wale waliojimilikisha nyumba za serikali, kununua kivuko kibovu na kulitia hasara taifa kwa kukatisha mikataba bila kufuata sheria?
 
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
 
Hata kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kule kijijiji ni ufisadi pia
Kwani bunge hutoa kibali cha kujenga Airport? Kazi ya Bunge ni kupitisha Bajeti iliyopelekwa na serikali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…