Weka video ushahidiHahahaaaaaaaa
Uzi hatimaye umegoma kusonga mbele baada ya press release ya utenguo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka video ushahidiHahahaaaaaaaa
Uzi hatimaye umegoma kusonga mbele baada ya press release ya utenguo.
Madam, hakikisha jamaa wa leo akikugonga hakupigi picha.
Alizikwa kwa siri kimya kimya?Si inasemekana nyaulingo alisharudisha namba!
Leo ndio nimesikiliza haya maono ya Lema hadi nikatetemeka kwa woga.
View attachment 1238526
Nawe chomeka kìbunzi cha ushahidi.Weka video ushahidi
Mkuu hayo mafisadi tunaendelea kuyanyoosha mpaka yakome kabisa kuiba mali za umma!
Aiseee......jamaa sidhani kama ana ukweli dhahiri juu ya hili......ni swala kubwa sana hili hawezi lipata kirahisi rahisi hivoHuyo rafiki wa nyaulingo siku hizi hasemi ukweli si omeona hata habari za nyaulingo anazificha
Unaongelea Rais yupi?
Zipi hizoAcha hzo wew
We, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.
Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Ilikuwa zamani sio kwa sasaFununu & Tetesi Za Jf Ziogope.
Zinaanza kama masihara!
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.
Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.
Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.
Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.
Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Hureeeee[emoji4][emoji4] nataman kusikia Israel kamaliza kazi yake nifungue Champaign [emoji123][emoji123][emoji123][emoji2969]
Woyooooooooo. Demis mjengoni
Kwani bunge hutoa kibali cha kujenga Airport? Kazi ya Bunge ni kupitisha Bajeti iliyopelekwa na serikaliHata kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kule kijijiji ni ufisadi pia