Ujeremani kwa mabeberu kufanya nini? Kwanini wasingempeleka kwenye zahanati anazodai kujenga nchi nzima, akakutane na waganga ambao miaka 4 imepita bila nyongeza ya mshahara
Utakufa kabla yake mwanahidhayaAfe tu
Ntafurahii balaaaa ntakula sisazi ht km bayaa
Mbona hii ni km sala ya marehemu?Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni japo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Utakufa wewe kwanza!Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Humkubali halafu unasema afya yake muhimu kwa ustawi wa taifa?!Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni japo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Mnajifanya ku divert matukio sio?Kuna ndege nyingine zanunuliwa. Enďeleeni kuumia.
T2035 JPM.
MAGUFULI ni mpango wa Mungu.
🤣🤣🤣🤣..mie nilikua najiandaa krudi porini kw uzi huu nalal mjini...nione updates
Labda mungu wa GamboshiMungu baba uketiye mahali pa siri palipotukuka licha ya kwamba binadamu kifo kaumbiwa,nakemea mabaya yote yanayonenwa dhidi ya mtumishi wako JJ,Magufuli ,mpe maisha marefu ,wabaya waspate pa kusemea,mlinde daima .mjalie afya njema huko aliko,Amen.
Reli ya mtama - darReli ipi ?
Humkubali halafu unasema afya yake muhimu kwa ustawi wa taifa?!
Sasa kwanini humkubali, ikiwa anastawisha taifa?!
Zipi hizo
Mama yangu umepotea Sana // wanasema mh anaumwa Sasa Kuna wanaofurahia Jambo ambalo sio sahihiKwani amepatwa na nini tuanze kilio walimwengu.
Basi mkubali na siasa zake, ukipenda boga penda na ua lake.Simkubali kwa siasa za kibabe na kuonea upinzani ila yeye Kama amiri jeshi mkuu namkubali kwa ustawi wa taifa akiyumba tutayumba