Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni japo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!

Habari mbona haijakamilika. Anaumwa nini?
 
Humkubali halafu unasema afya yake muhimu kwa ustawi wa taifa?!
Sasa kwanini humkubali, ikiwa anastawisha taifa?!
 
Screenshot_20191019-204826.png
 
Nina imani kama yako mkuu,,,,watu wengi wanachukulia hili swala kimasihara masihara tu....

Time will tell
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom