Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ndio maana wewe siyo hata mod wa jf. Maana jf haiwezi kuwa na mkurugenzi kichwa maji kama wewe.
Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.
 
Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…