Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom