Na hawa wanaomuombea Rais wetu mabaya watatangulia watamuacha anadunda na kutujengea reli mpaka kigomaWatu walimuombea mabaya ENL mwaka 2015; lakini hadi Leo mzee yupo, anadunda na anahudhuria sherehe mbalimbali za watoto na wajukuu. Baadhi ya waliomuombea mabaya wametangulia wao.
Wanamkataba na ibilisi Wa kuishi mileleWao wanavyoua wenzao!!?...
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida yako na mahonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tusubiri Breaking news kwanza mkuu.
Jiwe asepe tuNa hawa wanaomuombea Rais wetu mabaya watatangulia watamuacha anadunda na kutujengea reli mpaka kigoma
Mbona wanawaachia wameshindwa kuwatia hatiani kisheria?! Sijasikia aliyefungwa, nasoma humu DPP kawaachia, mara DPP kaibiwa.Wameachiwa we uoni yule Wa milioni 7 kwa dakika akipiga self
SahauLeo nahisi kuna furaha nitaipata kabla sijalala
Sawa ila ugonjwa na umauti hauchagui Cheo cha mtu.Rais Ni mtu mkubwa Sana na dhamana yake ni kubwa mno siwezi kumuombea mabaya hata kidogo
Nipe location mkuu
Ukute mzee yuko mahali anapiga deki nyie mnajitia mawazo tu
Huyu kigogo ni mtu anayejijua mwenyewe tu, kila siku tunasikia watu wana guess mara huyu mara yule. Kigogo2014 popote ulipo zama kichakani zaidi na kamaflage ya hari juu ukiwachora tu na kututupia madini.
was a TRAP and you're TRAPPED [emoji16]Honestly last week I had a dream of a farewell mass to mr President at St Joseph Cathedral. Mama Janet was wrapped ya in vitenge.