Na hawa wanaomuombea Rais wetu mabaya watatangulia watamuacha anadunda na kutujengea reli mpaka kigomaWatu walimuombea mabaya ENL mwaka 2015; lakini hadi Leo mzee yupo, anadunda na anahudhuria sherehe mbalimbali za watoto na wajukuu. Baadhi ya waliomuombea mabaya wametangulia wao.