Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
We, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!
Aibu nimeona mimi
 
Na ole wake, akifa huko kwa MABEBERU Ujerumani. Makubariano yetu wapiga kura, ”hatupeleki maiti IKULU na Pushapu, asijisahaulishe. Dadeki raha sana!
 
Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Iri tuenderee kurimia meno sio?

Huyu mtu ni kikwazo kwetu tunapotaka kumuabudu Mungu wetu.

Ni rahisi kwa Mungu ya kwamba atuondolee mtu huyu kuliko kututoa sisi mbele ya katili huyu mfilisti.
 
Ngoja tukae kimya ,
Screenshot_2019-10-19-21-43-41.jpeg
 
Are you a spokesman of Tanzanians?
We, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!
 
Watumishi wa umma hakuna nyongeza ya mishahara miaka 4 sasa. Bodi ya mikopo tumeongezewa makato toka asilimia 8 mpka 15. Nyongeza ya mishahara ya kila mwaka imefutwa. Hakuna kupanda vyeo.Kutukana watumishi wa umma hadharani sasa kumekithiri. Wafanya biashara wanabambikiwa kodi. Watu wanapotea na kuwekwa ktk viroba. Siasa haifanyiki tena ni wew pke ako uonekane.
Korosho zetu tumepolwa.
Hata mimi ningekuwa Mungu aah hapana ningesikiliza kilio cha Mtu Mnyonge. Maandiko yapo wazi tuu. Biblia inasema siku zao watu watendao Mabaya zitafupishwa. Na Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom