Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Upo[emoji44][emoji44][emoji44]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo[emoji44][emoji44][emoji44]
Weeee , hujambo ?Kumbe tupo wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unacomplicate mambo sana twende moja kwa moja kwenye kunijibuNitag jib
Ego!Mbona uzinduzi wa miradi wanatangaza kwanini hili liwe gumu kutangazwa.
Mkuu jikite kwenye mada we ni mkongwe humu toka JF inaanzishwa!Ukiona kelele nyingi namna hii ujue sindano na dawa inawaingia vizuri wale wote waliokuwa wanawaibia Watanzania na kupata mpunga bila kufanya shughuli yoyote ya maana. Hapa Kazi Tu kama hufanyi kazi na usile. Safi sana JPM hadi pale nchi hii itakapokuwa imepiga maendeleo yanayoendena na umri wake.
Kwahiyo nisilale kwanZA,,OKZipo kaa hapo kwa kutulia
.Japo na mapungufu yake ila kama ni kweli anaumwa namwomba Mungu amponeshe haraka
Acha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?