Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ukiona kelele nyingi namna hii ujue sindano na dawa inawaingia vizuri wale wote waliokuwa wanawaibia Watanzania na kupata mpunga bila kufanya shughuli yoyote ya maana. Hapa Kazi Tu kama hufanyi kazi na usile. Safi sana JPM hadi pale nchi hii itakapokuwa imepiga maendeleo yanayoendena na umri wake.
Mkuu jikite kwenye mada we ni mkongwe humu toka JF inaanzishwa!
 
Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
 
Japo na mapungufu yake ila kama ni kweli anaumwa namwomba Mungu amponeshe haraka
.
tapatalk_1566360583291.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom