Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ukute mzee yuko mahali anapiga deki nyie mnajitia mawazo tu
 
Nilisema Habari ndio hiyo
JF wakapiga “hocus pocus “ nikapotea
 
Naungana na wewe,

Awe mzima kwa jina la Yesu.
 
Statement yako imenikumbusha
Azory Gwanda, Alphonce Mawazo, Ben Sanane, Tundu Lissu, Kanguye Eric Kabendera , Aquelina Akwilini etc
Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
 
Mtu alikua katika ziara, ameamua ajipe mapumziko, huku nje tayari watu wanaongea, au mnataka mmuone kila siku! Mwacheni mzee wa watu nae ale bata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…