Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute mzee yuko mahali anapiga deki nyie mnajitia mawazo tuTwende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Naungana na wewe,Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Dah [emoji849]Mungu ampende zaidi hata leo ingependeza sana.
Zipo kaa hapo kwa kutuliaHakuna Mpya??
Haya yanayotokea tuStatement yako imenikumbusha
Azory Gwanda, Alphonce Mawazo, Ben Sanane, Tundu Lissu, Kanguye Eric Kabendera , Aquelina Akwilini etc
You are clueless.Hizo
Katoroka?!