Bila shaka hili sio IlaniMbona uzinduzi wa miradi wanatangaza kwanini hili liwe gumu kutangazwa.
Akili za ugoro hizoHumkubali halafu unasema afya yake muhimu kwa ustawi wa taifa?!
Sasa kwanini humkubali, ikiwa anastawisha taifa?!
Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Aibu nimeona mimiWe, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!
Iri tuenderee kurimia meno sio?Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Akwilina je? Si alipigwa risasi.wauwaji wako wapi??Duuh kuna wadau ni wauwaji kabisa humu hata miandiko yao tu inatisha. Watanzania tubadilike tusifike huko daah...
We, Tanzanians support you Mr President Dr Magufuli because we know your heart is in the right place, and greatly appreciate what an incredible job you're doing as you work tirelessly to bring the Tanganyika back to prosperity and peace. Thank you Mr. President!
Japo na mapungufu yake ila kama ni kweli anaumwa namwomba Mungu amponeshe haraka
Kwa niaba ya wanaoAibu nimeona mimi