Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kama kweli Ni mgonjwa Mungu amponye kwa maana Uhai uko mikononi mwa Mungu
 
Walitolewa kanda ya ziwa... Wakaja White House.... Wakatoa tamko atakae chukua fomu watamshughulikia.. Yote yalimlenga jasusi


Cheo ni dhamana


Sasa kapewa kamtihani kadogo... Awatumie hao hao kujiokoa...

Nawaza mungu wa dar atakuwa ktk hali gani??


Mkuu linda buku 7 yako
 
Na nilijua nilipoenda ulaya mlijua nitakufaaaaa sasa nimerudi Tena Kaz kweli na wale niliowatumbua na kuwateua nitaapisha upyaaaaa a hiiiiiiiihiiiiihiiii Niko gado kamili kabisa aaaaaaaaaaaa Sasa ole wako wewe uliejifanya ikulu unaitaka subiri uchaguz ufikeeeeeee ,2020 sio mbali in meko voice chato .com
 
Unaposema “kama kweli anaumwa”, ina maana huna uhakika na taarifa za rais wetu kwasababu hujamsikia wala wasaidizi wake hawajasema lolote kuhusu kutokuonekana kwake, zaidi ya rum ours! Sasa wewe unataka Nani alaumiwe?
 
Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.

Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.
Sema unampeda wewe bwanaa usitusemeee siiiiiiis😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…