Kuna mwenye roho mbaya kumshinda huyo jiwe
Washindwe!Wachawi wote wapelekwe na upepo wa kimulimuli mpaka Mlima wa moto.
Upepo wa kisulisuliKwani kimetokea nini?
Hivi madam una familia? Ipe a familia yako muda wa kuwa nayo japo kidogo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana stori za kifacebook. Unapenda sana umbea.Jamani semeni ukweli, mficha ukweli aibu humuumbua.
Hawa wameamua kuchimba watu bila aibu!Plus na wale wachawi wa Gambus, waliotoa onyo kwa yeyote atakayechukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2020, wakitoa onyo kuwa watampoteza!
Tunamalizia maombi ya afya ya Tundu Lissu
Rais ni mtu mkubwa. Unadhani kila kitu ni kutangaza tu
Kipindi hicho wewe upo wapi??Hivi madam una familia? Ipe a familia yako muda w kuw nayo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana na favebook. Unapenda sana umbea.
Subiri kesho watakuwepo mitaa ya kwako utawaona tu wanajitambulisha kwa lugha zao!kipara kipya nani mchawi
Vipi kama angekuwa ndo baba yako mazazi?
Hivi Sema ukweli, humpendi Magufuli kiasi unatamani afe leo!Jamani semeni ukweli, mficha ukweli aibu humuumbua.
Kipíndi gani?Kipindi hicho wewe upo wapi??
Huyu mama naamini ni muathirika wa waliotumbuliwa. Nahisi wale wa vyeti.Hivi Sema ukweli, humpendi Magufuli kiasi unatamani afe leo!
Mtu alikua katika ziara, ameamua ajipe mapumziko, huku nje tayari watu wanaongea, au mnataka mmuone kila siku! Mwacheni mzee wa watu nae ale bata
Namuonea huruma sana huyu mwanaye. Maana kuna watu watajisevia marinda.Ila kinachomuuma bashite anakijua!
Walitaka kumtanguliza lissu... Mungu akamuokoa
Natumai na yeye amepewa ka mtihani kadogo tuuuu.. Sidhani Kama kana maumivu Kama aliyoyapata lissu
Halafu ni msomi wa uingereza, unahuzunisha Sky EclatHivi madam una familia? Ipe a familia yako muda wa kuwa nayo japo kidogo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana stori za kifacebook. Unapenda sana umbea.