Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Damu isio na hatia ya mhe tundu lissu, azory gwanda, ben saa nane na wengine IMEAZA KUFANYA KAZI, mungu ameikumbuka taifa letu, mungu tunakusukuru kwa kusikia kilio chetu sisi wanyonge, sisi tuliodhurumia hela ya korosho, kuliombomolewa nyumba hapa dar,na sisi watumishi wa serikali hatujaongezwa musharaha kwa miaka 4 , mungu asanate sana kwa kusikia kilio chetu, jina lako LITUKUZWE
 
Jamani semeni ukweli, mficha ukweli aibu humuumbua.
Hivi madam una familia? Ipe a familia yako muda wa kuwa nayo japo kidogo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana stori za kifacebook. Unapenda sana umbea.
 
Yeye ndo alitaka tumuone kwenye Luninga kila siku kama Slayqueen. Sasa akipotea unategemea watu wafanyaje?
Mtu alikua katika ziara, ameamua ajipe mapumziko, huku nje tayari watu wanaongea, au mnataka mmuone kila siku! Mwacheni mzee wa watu nae ale bata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom