Achana kuhangaika na mikitu hiyo. Relax. Au ukijua utawahi kuokota nini ktk hayo makitu?Am tired with this shit kama wamemficha atajijua huko alipo
Wewe dada unaropoka kma mpini umekuingia kwenye masaburiIdara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
Haya maneno ilibidi uwe unamuambia jiwe wakati anawamiminia risasi wenzie. Otherwise ushachelewa. Subiri tu breaking news.Siasa za chuki huondosha utu.
Na ni upumbavu kusherehekea kifo ukidhani kifo ni adhabu ilhali kila mja atakufa tunatofautiana muda tu.
Hatujali sana mambo mengine yakiwakuta tinaodhani tuna haki ya kuwachukia.
Kweupe mbuzi anakula majani bila aibu wanafanya ulozi!Nimecheka sana Kipara Kipya kweli hakina akiliView attachment 1238670
Fangus za poumbouHabari mbona haijakamilika. Anaumwa nini?
OK. kesho nenda kamuombe mungu wako atimize ombi lako.sina lingine ni hilo tu,kufa magufuli
Malaika huwa wanaugua? Ndio mjue huyo mnayemwabudu sio malaika Wala Mungu ni udongo Kama yalivyo matope ya Jangwani pale Klabu ya Yanga. Nyambaf zenuAcha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Tatizo lipo ndani ya Serikali kwanini tunaficha ukweli?
Izi tetesi zingekanushwa mapema na watu wakasema mkulu kaenda Ujerumani kutibiwa kwani kungekuwa na shida gani?
Shida inaletwa na wanaoficha ambao ni Serikali.
Heshima ni kitu muhimu sana kama imeshindikana kumheshimu kama Rais basi mheshimu kama baba au kaka yako. Lugha uliyotumia inadhihirisha kabisa hukupata malezi ya maadili.yupo ujerumani,afie huko huko kufa kabisa magufuli,bora tuongozwe na mwanamke mama samia kuliko kuongozwa na huyu mpumbavu
Dada na ww leo umerudi. Karibu sana
.Mshana jr kwani rada zako zinasemaje kuhusu huu ukimya. Kuna chochote zimesense
Hayo si yalipigwa marufuku? Au kibali kimeshatoka Leo?Tunamalizia maombi ya afya ya Tundu Lissu
Jamani semeni ukweli, mficha ukweli aibu humuumbua.
Mkuki kwa ngurue,kwa binadamu mchungu.Mkuu Mungu ndie anaejudge..mimi nilikua simsapoti ila sio kwa hizi comments humu..am sure hata Lissu pamoja na kuumizwa haombei mabaya hivi
Daa jiwe hapendwi jamani