wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Bordycheckkaenda kufanya nini mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bordycheckkaenda kufanya nini mkuu??
Nyimbo zao wakikutana ni dizaini hii!Naskia wachawi wa gamboshi wamemsindikiza jiwe ujerumani kumpatia huduma ili apone mapema
sifi kwa jina la Yesu Kristo mpaka niwe na 100+ yrs,week ijayo watatangaza msiba wa huyo makufuli muuaji wa wapinzani, ntakuja kukuquote hii comment yako kwa furaha sanaa na kicheko kikubwa,anaua watu kumbe na yeye anazidiwa Hadi ICU,afe tu
Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” *Benjamin_Franklin* Tuacheni petty politics zinazoongwa na Taarifa za Ramli na kuombea tusiowapenda Mabaya
kwani wewe umeshaolewa?Hivi madam una familia? Ipe a familia yako muda wa kuwa nayo japo kidogo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana stori za kifacebook. Unapenda sana umbea.
Jamani mbona tuko nae hapa yuko fresh tuuHuko kwa malaika!
Kunyongwa hadi kufa... Ni kifo??? Ni adhabu????Kifo sio adhabu.....
Hii sasa inaitwa moja + moja ni 11Read between the lines... You have brains
Mungu hupokea maombi ya wenye hakiKwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Kama bosi wenu anavyomalizwa kimyakimya sasa hiviDawa ya wachawi ni kuwamaliza kimya kimya na hiyo tabia itaisha..
Roho mbaya ya watanzania uiitayo wewe imetengenezwa na huyo huyo JIWE...."what goes around........"Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.
Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.
Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).