Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie wale wazee wa Gamboshi wajibu mapigo.Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
TUJITEGEMEE
MISULI
misasa
stroke
imhotep
MsemajiUkweli
Victoire
@Tumainei
johnthebaptist
cocochanel
Mbona mpo kimya wapendwa au wkend imenoga
[/QUOTE
Unamwamini Kabwe mkuu?
Ni kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Kwani nani kaugua? Kwani nani kafaa? Acha uchuro.Acha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Roho mbaya ilianza kipindi lissu anatwangwa risasiKaaah watu mna roho na mioyo mibaya sana aisee, ukisoma comments nyingi hapa ni roho za kishetani kabisa..
...and Karma is a bitch!!karma tayari
Bado tunaset mitamboDah wametuchomesha sana mahindi. Mbona breaking news haiji?
Acha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
ameshakufaaa
Roho mbaya ya watanzania uiitayo wewe imetengenezwa na huyo huyo JIWE...."what goes around........"
Si alitelekeza jimbo, umesahau?Tundu Lissu rudi nyumbani hali iko shwari sasa 💃🕺🏾