Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
...and Karma is a bitch!!
Sure when I see this pic
IMG_20190917_093616.jpeg
 
Hii ni story ya kweli na huu niushauri kwa wale wenye madaraka na pesa kuto jisahau nakuchunga midomo yao pindi wanaongea.

Siku moja kiongoz wa taasisi fulani alimkuta ofisa wa daraja la chini akitoa maoni yake kwenye kikao fulani sasa yale maoni yakawa kama yanamgusa na kwa hasira akamtafuta yule kijana nakumwambia atamshusha daraja na kumkaripia sana yule boss alikuwa nikama daraja la nne kutoka yule ofisa. Yule ofisa hakujibu sana zaid yakumsikiliza Boss wake nakusubiria any time kushushwa daraja lakin kilichotokea yule boss akawa ndie anashushwa daraja miaka nane sasa yule bwana kila akifika nafas fulan anashushwa anakaa mwingine.

Hii inamanisha nini hasa? Wanadam ni viumbe hatari sana kunawanadam sio wakawaida. Hivi sijuwi kama umewahi sikia habari ya mtu mmoja alikuwa akimshauri kijana na yule kijana akamwambia ujana wangu ale nani? Haikupita muda yule kijana akafa kifo cha ajabu sana.

Ndugu zangu kuna watu niwakawaida sana ila waogope sana na hawa tupo nao maofisin na majumbani usiwachukue poa. Kuna kiongoz mkubwa sana amekutana na mambo mazito sana ila angalia watu walio simama nakumshughulikia lile kundi wengi wamepumzika na hiyo ni picha halisi ya hatari ya kiumbe mwanadam.

Nani anamkumbuka kiongoz fulan wa upinzani alie kuwa akiwasemea wanakijiji wa kijijifulan kusini alafu akasimama mbunge wa lule jimbo nakumnyooshea kidole yule kiongoz wa upinzan baadae alipata ajali na ule ule mkono alio mnyooshea ukakatika. Hayo ndio maajabu ya kiumbe mwanadam na hatari zake.
Wapo watu ni hatari kuliko sumu ya koboko. Kuna watu akikuangalia au akiumia moyoni na wewe unaumia kama alivyo umia. Jambo linaweza kuwa baya sana.

Usimdharau mtu kwa maisha yake au nafasi yake kuna watu ni zaid ya hatari. Mkurugenz fulan akiwa ktk kikao alikutana na swal kutoka kwa kujana ambaye kwa nafasi yale nikama mtu wa certificate sasa yule mkurugenz hakupenda swal lile alichokifanya nikumpa transfer kwenda mbal kabisa na mkoa wa Dsm sasa kilichotokea yule kijana aka pangua alafu akaomba kuonana na Mkurugenz na alikuwa ananeno moja tu kumuuliza je amewauliza HR file lake kama analo? Mkurugenz kwa kiburi akamuagiza Mkuu wa HR kijana akiendelea ku pangua transf afukuzwe... Tobaa kumbe anajifukuza. Basi jamaa kwel akafukuzwa na alipo pat baruwa akaomba tena kwenda kwa mkuu nakumshukuru mwaka mmoja baadae yule yule alie mfukuza akaja na dispatch kutoka ikulu ya baruwa kutoka kwa Rais kwamba hana kazi. Ndugu zangu sijuwi niseme nin mnielewe juu ya utisho wa mwanadamu na vile yatupasa kuchunga midomo na action zetu.

Kun vijana wameheshimiwa nakupewa madaraka ila uwenda miaka yao imekuwa mifupi kwa kulewa madaraka wamewaambia watu wataona na hawajuwi same people wanatoa taarifa zao na uchafu wao bila chenga na siku zao zinasoma kama mshale wa saa.

Mkuu mmoja wa mkoa miakafulan akaweza kujuwa aina ya hawa watu na ktk kujiham akawa anawapiga majungu nakuwanyanyasa sana siku anatenguliwa mmoja ya wale aliwanyanyasa ndio alikuwa mkuu wa mkoa. Na aliondoshwa usiku wala sio mchana. Cheo nidhamana waheshim watu na funga mdomo.

Kuna watu sio wakawaida japo njia wanapita niyakinyonge sana huwez waona ktk macho yakawaida ila utawaona siku yake. Vijana hawa wakiwa nchi fulani bara la Ulaya walipeleka maombi yakupatiwa ufadhili kwa serikali kutokana na kutokuwa na wazazi alie pokea maombi yao nakupitisha baadae alikuwa kuwa Rais walile taifa na mmoja wa wale vijana akawa Rais wa Taifa kubwa dunian USA. Wakati hayo yanatokea hawakuwa wkiwa wanasiliana siku moja lile taifa ambalo wale vijana walisoma likapata njaa hivyo ikawabidi waombe msaada USa. Maombi yake yalipofika kwa Rais akakumbuka fadhila yawale vijana nakuipa chakula bure nchi ile. Mungu anatisha.

Naogopa mdomo naogopa madaraka yakiwa yanakuongoza bila kuyaongoza. Kitisho cha Goliati kilimfanya Mungu kushuka nakumuondoa kupitia kijana mdogo sana hili nifundisho kwamba alie kupa wewe ndie kamnyima yule be humble person.
 
Mkuu Mungu ndie anaejudge..mimi nilikua simsapoti ila sio kwa hizi comments humu..am sure hata Lissu pamoja na kuumizwa haombei mabaya hivi
Acha kabisa kusemea Lissu usije ubadili mjadala huu kuwa wa madongo. Unajua Lissu amelala kitandani bila kuinuka kwa miezi mingapi? Tena kwa maumivu makali ya vidonda vya risasi, visu na mikasi? Na bado maumivu ya ofisi kugoma kumlipia matibabu? Lissu akaishia kunyang'anywa na kazi ili afe njaa bado unamsemea eti pamoja na kuumizwa haombei mabaya!
Lile tabasamu lake limeficha mengi, na bila kutubu watu wataangamia sana
 
Idara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
Acha kuwapa Amri Usalama wa Taifa wafanye uovu kwa fikra zako za kishetani
 
Subiri breaking news
Nikienda Twitter nakutana na codes, nikirudi JF ni nyuzi za codes! Kuna muda nikaamua kulala nikaamka akili yangu bado haielewi kitu!

Nafikiri mnataka kunipotezea nisiwaze yale mahela yalolipwa juzi...
 
Tunasubiria wengi Kwa hamu kuona Missa ya kesho ambayo Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanganyika na Zanziba atakapoudhuria ibada

Watu watakusanyika sana na kumsililiza atasema nini

Kanisa likijulikana mapema litajaa kuzidi kawaida


Nawatakieni Ibada njema muungane na Rais kusali


Britannica
 
Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.

Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).

Roho mbaya inapandikizwa, inatunzwa na inalelewa na inakuwa na kuanza kufanya yake kwenye jamii. Waswahili wanasema mwanzo wa ubaya mwisho wake ni aibu.

Kumbuka roho mbaya haina mwelekeo leo kwako kesho kwake, ukiwa na roho mbaya jua lazima lazima mishare ya maumivu unayotoa itachoma watu huko mwisho wa siku itageuza njia ikurudie wewe mwenyewe. Angalia Hiltler, IdiAmin, Musolin, Bokasa, Bashir, Sadamu, Said Bare, Mabutu na wengine wengi chuki zao zilipowajeukia wao wenyewe.

Pia tambua si lazima upendwe na kila mtu, hata wanaokuombea mabaya wakubari tu ili mzani ubalance.

Pia jifunze kitu kwenye hiyo idadi kubwa ya watu wenye roho mbaya kuna kitu wanaashiria.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom