Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Idara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
Wewe dada unaropoka kma mpini umekuingia kwenye masaburi
 
TL mjanja kakimbilia marekani kwa sababu kuna Watanzania wengi kule ambao wanamchangia pesa kwa sababu ufahamu wao uko chini sana, hathubutu kukanyaga nchi kama Wingereza ambako wapo Watanzania wabobezi na hawawezi kumchangia kibaka kama TL. Anakimbilia kwenye soft touch.
 
Siasa za chuki huondosha utu.
Na ni upumbavu kusherehekea kifo ukidhani kifo ni adhabu ilhali kila mja atakufa tunatofautiana muda tu.
Hatujali sana mambo mengine yakiwakuta tinaodhani tuna haki ya kuwachukia.
Haya maneno ilibidi uwe unamuambia jiwe wakati anawamiminia risasi wenzie. Otherwise ushachelewa. Subiri tu breaking news.
 
mimi mwenyewe nahisi washanitandika,maana cjielewi elewi kbs,,japo afya ni safi lkn km wamenipiga kweli basi wanampango wa kunimaliza mdogo mdogo kiuchumi.,,,namwomba Mungu anilinde tu
 
Nimekumbuka 2015 kulikuwa na tetesi aina hii japo aliesemwa wakati huo alikuwa rais mstaafu awamu ya tatu...watu walitoa na ushahidi na vile alikuwa haonekani ikaaminika, ajabu siku ya kuapishwa rais mpya msataafu Wa tatu huyo eneo la tukio, kadhalika cdf Wa wakati huo alisemwa amefariki alinyweshwa tumbo zikaletwa na evidence.
Kikubwa kila kitu kitakaa sawa.
Tatizo lipo ndani ya Serikali kwanini tunaficha ukweli?

Izi tetesi zingekanushwa mapema na watu wakasema mkulu kaenda Ujerumani kutibiwa kwani kungekuwa na shida gani?

Shida inaletwa na wanaoficha ambao ni Serikali.
 
yupo ujerumani,afie huko huko kufa kabisa magufuli,bora tuongozwe na mwanamke mama samia kuliko kuongozwa na huyu mpumbavu
Heshima ni kitu muhimu sana kama imeshindikana kumheshimu kama Rais basi mheshimu kama baba au kaka yako. Lugha uliyotumia inadhihirisha kabisa hukupata malezi ya maadili.
 
Mshana jr kwani rada zako zinasemaje kuhusu huu ukimya. Kuna chochote zimesense
.
tapatalk_1571451996043.jpeg
 
Kaaah watu mna roho na mioyo mibaya sana aisee, ukisoma comments nyingi hapa ni roho za kishetani kabisa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom