FreshKwani vp
Wanawaza ubaya hswajui utawarudia wenyeweMimi mwenzenu mnanichanganya mshana [emoji20][emoji20][emoji20]
Yaani nimeshangaa na comments za humu.kama rais yupo ICU tumuombee apone haraka
Kabisa tuweke chuki pembeni hata kama CCM tuna siasa za chuki lakin tuweke pembeni tueneze upendoUnamanisha kweli maana @Britanica huwa unamlipua sana humu
Kumbe upoOff topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Unasalia wapi MkuuNawatakia Ibada Takatifu Kwa Watu Wote
π·π·π·π·
Mbona ule Wa sadc hakuwakilishwa?Huyu jamaa hata mikutano ya kimataifa inayofanyika nyumbani kwake anataka kuwakilishwa, kweli sasa naelewa kwamba tuna matatizo makubwa na uongozi wa mtu huyu, tuwe makini 2020.
Kabisa tuweke chuki pembeni hata kama CCM tuna siasa za chuki lakin tuweke pembeni tueneze upendo
Tatizo wanafichaAfadhali topic yako ina hopes,...maana sio kwa kuogopa huku..
Duh..!Mungu ampende zaidi hata leo ingependeza sana.