Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kiza kinene sioni pa kupapasa [emoji1781]

Baada ya kupitia baadhi ya comments kwenye uzi huu nimejikuta niko dilemma , sijui nini kinaendelea... Ila natumaini hakuna baya lolote litakalo tokea [emoji124]
 
Walipotoa vitisho mliwashangilia, mkawasifu, mkawaita vidume Leo wamepatikana mnaleta Lomoni. #Apambane na hali yake
 
Alitakiwa aende Uingereza akose michango AFE siyo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nawashangaa kwa kumuombea mabaya binadamu mwenzio,hata kama unamchukia kiasi gani,lakn inapofkia kumuombea kifo,hapo utu unakuwa umekutoka....u become an animal or something far than that!

Wale jamaa "wasiojulikana" walompiga risasi Mhe.Tundu Lissu wakashangilia hivi walitaka AFE au walikuwa wakijifurahisha tu?
 
Ndo mjitafakari km mnapendwa au mnalazimishwa kupendwa!!!???

Watendeeni watanzania wema na sio kuwajutisha kwa makusudi kisha kujisikia raha kwa vile wavyoumia.Lione na Para lake, Bayaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…