Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Je watu wenye roho nzuri walifikiria mazuri 7/9/2017 area c ?!. Kama na wao hawakufikiria usilaumu wengine wakiwaza tofauti

Sijalaumu mtu, na si lazimishi mtu kufuata mtizamo wangu.

Kulipiza ubaya kwa ubaya haikufanyi uwe na roho nzuri.
 
Mimi toka niambiwe haya.

Former CDF amepuliziwa sumu,amefariki.
Mama samia amejiuzuru.
Jk na mkewe wako lock up kuu,ikulu.

Sina imani tena na wapuuzi wa mitandaoni,unajua wakati mwingine inakuwa tu kama hiviiii,unasoma taarifa kama hiyo hapo ya kwanza halafu anayetajwa umekutana naye sehemu anaendelea na kazi zake,unabaki kushangaa tu.halafu mbaya zaidi unakuta kuna wajinga kibaoo,wanashangilia kwamba ni kweli[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
 
Eti MATAGA ndio nini au nani?

NI SEHEMU MOJA HAPA ZIMBABWE, KARIBU SANA MKUU UJE UNITEMBELE, USISAHAU KUNILETEA DAGAA WA KOLOMIJE

1571517747453.png
 
Hata walompiga risasi Lissu wana roho za kishetani kama za huyu lofa,unawezaje kufurah m2 afe hata kama humpendi kwa degree ya juu kiasi hiko,hivi makanisani na misikitini tunaenda kufanya nn sasa...!!!?
Haa
Haahaa tabia hizi zilianza kipindi lissu anatwangwa risasi mchana Dodoma, kwa sasa zimekomaa.msamehe Mkuu.
 
Shubamiti anavyowadhalilisha watu tena hadharani na kuwafukuzisha kazi hajui kama wanafamilia na watoto ebu lile tukio la kumtukana Enjinia famila yake imejisikiaje .
Haahaa nakumbuka vilaza wakubwa hawa, professa mbarawa alitamani dunia ipasuke...
 
Ngoja katekumeni Paskali aje.

Mie nitakuwepo hapo, mwaka huu nimekuwa muumini hai hapo kanisani.
 
Tatizo lipo ndani ya Serikali kwanini tunaficha ukweli?

Izi tetesi zingekanushwa mapema na watu wakasema mkulu kaenda Ujerumani kutibiwa kwani kungekuwa na shida gani?

Shida inaletwa na wanaoficha ambao ni Serikali.
Ushaambiwa ukimya ni jibu pia endeleeni na ramli zenu
 
Hata walompiga risasi Lissu wana roho za kishetani kama za huyu lofa,unawezaje kufurah m2 afe hata kama humpendi kwa degree ya juu kiasi hiko,hivi makanisani na misikitini tunaenda kufanya nn sasa...!!!?
Kwa kweli, masikini lissu watu walipigwa marufuku hata kumwombea makanisani Na misikitini.watanzania tutubu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom