Je watu wenye roho nzuri walifikiria mazuri 7/9/2017 area c ?!. Kama na wao hawakufikiria usilaumu wengine wakiwaza tofauti
mna wasiwasi tu wa bure yule ni jiwe hatingishiki hovyohovyo hata kwa ugonjwa
Mrembo umerudi karibu sana,halafu mbona hujibu text yangu pm?
Kwani linaumwa??😎😎😎😎😎Mwenyezi Mungu naomba uliponye Taifa letu la Tanzania hasa Tanganyika.
Alikuwa kiongozi? ina maana sasa siyo kiongozi? ana familia iliyokuwa inampenda kwani sasa hawampendi?Pamoja na kwamba alikua kiongozi wa nchi pia ni baba na ana familia iliyokua inampenda,muwe mnawafikiria hao hawajawakosea lolote 😢
Eti MATAGA ndio nini au nani?
Haa
Haahaa tabia hizi zilianza kipindi lissu anatwangwa risasi mchana Dodoma, kwa sasa zimekomaa.msamehe Mkuu.
Anamwakilisha kwani ye yuko wap?Sasa walikuwa wanapinga nini kuwa jamaa hayupo nchini?
Nchi hii maboya akili ndogo kama haya ndio yanatumiwa na watawala
Huyu anatakiwa adhibitiwe kama mwenzie Kamanda sijui nan leo alitaka kuinua mdomo wake wakat tunajua kuharibu dakika chache
Haahaa nakumbuka vilaza wakubwa hawa, professa mbarawa alitamani dunia ipasuke...Shubamiti anavyowadhalilisha watu tena hadharani na kuwafukuzisha kazi hajui kama wanafamilia na watoto ebu lile tukio la kumtukana Enjinia famila yake imejisikiaje .
Ushaambiwa ukimya ni jibu pia endeleeni na ramli zenuTatizo lipo ndani ya Serikali kwanini tunaficha ukweli?
Izi tetesi zingekanushwa mapema na watu wakasema mkulu kaenda Ujerumani kutibiwa kwani kungekuwa na shida gani?
Shida inaletwa na wanaoficha ambao ni Serikali.
Kwa kweli, masikini lissu watu walipigwa marufuku hata kumwombea makanisani Na misikitini.watanzania tutubu..Hata walompiga risasi Lissu wana roho za kishetani kama za huyu lofa,unawezaje kufurah m2 afe hata kama humpendi kwa degree ya juu kiasi hiko,hivi makanisani na misikitini tunaenda kufanya nn sasa...!!!?
Kuna nn eti ebu niambie kitu gani kinaendelea tz?