Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Pia habari za kutumbuliwa kwa Kpilimba alizisema siku kabla na ikatokea. Hata hivyo kuna vingi anavisema havitokeo kama Mama Samia kukamatwa, hata hili nina wasiwasi nalo sana. Au inawezekana kweli ameumwa ila sio kwa kiasi hiki cha kukaribia kukata roho
 
Pole kwa Mhe kwa lolote. Mungu akutie Nguvu
 
Alisema Rc mbeya anatumbuliwa, badala yake akasifiwa, alisema pia gavana anapigwa chini, mwezi sasa! Ana matango pori sana
 
Makonda kafukuzwa kazi
Kwanini hili dua la kuku halimdhuru tu mwewe?

Limeombwa sana hasa na makoo, sababu anakula sana vifaranga!

Lakini linaonesha halina impact, afadhali kutafuta mbinu nyingine ya kumaliza tatizo, yaani ni sawa na gwajiboy kushikwa ugoni wa kwenye mtandao, akivunja dhahiri amri#6!

Sasa kiko wapi?
Yupo anakulakula tu sangara huku akishushia na juice ya ukwaju kwa raha mstarehe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…