Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Chukua time wewe, tuache na Kigogo wetu, hata akitudanganya tunafarijika kuliko matusi na vichambo vya Jiwe.

Wewe mwenyewe kwanza nawe umeamini ndiyo maana una comment.
Mmezoea maneno ya kuremba remba na kubembelezwa. Sasa mzee Magufuli anawachana makavu in a broad daylight mnaanza kulia lia.

Matokeo yake mnamuamini kila mtu aliye against Rais wetu kipenzi Dr magufuli
 
ibara ya 37(5) ya katibu yetu tukufu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

haya anaejua hiyo maana ndo katupa fumbo jingine
375.JPG

sina khiyana mimi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom