DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
HakikaAcha ashangilie ila hilo analotegemea halitatokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaAcha ashangilie ila hilo analotegemea halitatokea.
Jana niliona yale magari yanaludi dar nikiwa mkuranga
Nothing,all is well.
Yapi ..?unayajua brother?
I just called my brother who works with our president.
I just called my brother who works with our president.
aiseeKuna mazito yanaendelea yanatisha mzee
Hayaelezeki elewa hivyo
He will be well ondoa shaka....I just called my brother who works with our president.
Vibanda vya kahawa vipoje ?Ameamia juzi tu hapa...hayo maneno mengine unayosema ni ya kwenye vibanda vya kahawa
mkuu poleni kwa mgonjwa.He will be well ondoa shaka....
Ila.... Ndo aone watu wanavyomchukia only few people we are praying for him
tutakutafuta wewe na huyo kaka yako... mnavujisha mambo ya system kwa ajili ya umbeyaI just called my brother who works with our president.
Yapi?tutakutafuta wewe na huyo kaka yako... mnavujisha mambo ya system kwa ajili ya umbeya
Daudi ushaanza [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]mkuu poleni kwa mgonjwa.
Jiwe mjanja sana yaani kasema kahamia rasmi dodoma kumbe kajificha magogoni[emoji2][emoji2]Ikulu ya mapichapicha na kuonyesha mitandaoni ipo Dodoma. Ikulu hasa ya kazi za Rais ipo pale Magogoni jijini la wajanja DSM
mkuu najizuiya sana ila nakwama 🤣Daudi ushaanza [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Heart attack or nothing at all?Nothing,all is well.
Jizuie tuuu.. Mi nachangamsha jamvi tu humu [emoji28][emoji28][emoji28]mkuu najizuiya sana ila nakwama [emoji1787]
Mpe Pole kwa kazi.hapana tupo naye hapa tunapiga kazi