Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.
Wezi wakubwa nchi ni viongozi waandamizi wa serikali na wanasiasa wazito! Ni hawa ndio wanashirikiana na mafisadi iliyokubuhu kutoka sekta binafsi!

Nitajie kiongozi mmoja mwandamizi kwenye level ya uwaziri au ukatibu mkuu ambae amewahi kufanywa chochote na JPM!
 
Kumbe kuna mafisadi wazalendo! Ni kina nani hao, au ni wale waliojimilikisha nyumba za serikali, kununua kivuko kibovu na kulitia hasara taifa kwa kukatisha mikataba bila kufuata sheria?
Wazalendo mafisadi ni wale CCM wanaokula 10% kwenye miradi yote mikubwa kuanzia chato Airport ujenzi wa reli flyover na ununuzi wa ndege
 
Tunasubiria wengi Kwa hamu kuona Missa ya kesho ambayo Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanganyika na Zanziba atakapoudhuria ibada

Watu watakusanyika sana na kumsililiza atasema nini

Kanisa likijulikana mapema litajaa kuzidi kawaida


Nawatakieni Ibada njema muungane na Rais kusali


Britannica
Na kama hataonekana akihudhuria kanisa lolote, unaweza kujua yuko wapi kwa sala nzito nzito watakazosali waumini (wote?) wa makanisa yote. Hiyo itakuwa ishara tosha.
 
Ila hata mm juzi nimeota ndoto ya majeneza majeneza ila sema siikumbuki km ikiwa kuna kitakachotoke wenyewe wanasema Fumilillah.

Aisee kuja jambo na mimi limenitokea siku kama mbili zilizopita usiku sana. Ilianza ghafla tu nikiwa macho nikajikongoja hadi kitandani. Nilikuwa kama nakata roho. Ilinibidi nikemee kwa nguvu!

Hali hii haijawahi kunitokea sijui ndiyo ilikuwa heart attack au nini.

True story!
 
Duh! Kamati ya roho mbaya na picha yao hii
IMG-20191011-WA0031.jpg


Nalog off
 
Hawa wazungu walivyo washenzi wasije kuwa wamechomoa kale ka pacemaker remotely baada ya mzee kuwabania makonikia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom