Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ni kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Mizimu yako ina a strong WiFi connection
 
Imetoka nyingine kuwa kuna mkutano unaanza j3 na yeye alipaswa kuwa mgeni rasmi ila hatokuwepo badala yake atawakilishwa na makamu wa Raisi.


Hapo vipi?
Hapo ni kuwa yupo Hospt anatibiwa
 
Mungu akusimamie
Hata Kama nakuchukia sijafika hatua ya kuwaza wengi wanayowaza

Kila mtu uugua hata we we siyo chuma ni binadamu wa kawaida mwenye nyama kama sisi,



View attachment 1238709
Naungana na wewe Britannicca kwenye maneno hayo, hasa huo mstari wa pili 'kuhusu mawazo,'

Mioyo ya wengi inakuwa mizito wanapokumbuka kejeli na mengine yaliyosemwa wakati 'wengine walipopatwa na adha kubwa, pengine kubwa zaidi ya yanayomtokea yeye, lakini busari ya kuwa kiongozi hakuitumia.

Nadhani hilo ndilo linalochochea haya tunayoyasoma humu.

Binaadam ni binaadam, bila kujali ngazi yake katika maisha. Binaadam mwenzako anapopatwa na matatizo, hata kama hukubaliani naye, 'ubinaadam' hutangulia mbele.

Na kama wewe ni binaadam uliyepewa wadhifa wa kuwaongoza hata wale binaadam wengine wasiokubaliana na wewe, unabeba jukumu kubwa la kuonyesha busara unapozungumzia yaliyowapata hao wasiokubaliana nawe kwenye mambo ya siasa au mengineyo. Hata kunyamaza tu, na kuacha kuyazungumzia ni busara tosha.

Kwa hiyo, "hatelekezi jimbo lake" kwa sababu zinazofahamika kabisa.

Ni mambo kama hayo yanayoleta sintofahamu hizi tunazozisoma humu.
 
Watumishi wa umma wengi hawataki kuhamia Dodoma, Dua zao ni zoezi la kuhamia Dodoma life na mishahara iongezeke siyo zaidi hawana huruma na mtu wao wanaangalia masilahi yao pekee
Mzee hebu lala naona unaongea maruwe ruwe tuu hapa

?? +++++???!! :::::::::::::::::::::;:🙁) =#
 
Unaniuliza mimi?
Muulize Msigwa anajua Boss wake yuko wapi. Au jiulize why Makonda kaandika kisichojulikana leo

Bashite anajua picha lote A-Z hata Le mutuz kawambia watu siri nyingi za mtukufu baada ya kuzipata toka kwa boss wake Bashite
 
Screenshot_2019-10-20-02-26-30-1.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom