minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Siki yoyote kianzia jtatu.
Hapo kwenye kuapishwa ndipo hesabu zote zitajulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siki yoyote kianzia jtatu.
Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Mizimu yako ina a strong WiFi connectionNi kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Hapo ni kuwa yupo Hospt anatibiwaImetoka nyingine kuwa kuna mkutano unaanza j3 na yeye alipaswa kuwa mgeni rasmi ila hatokuwepo badala yake atawakilishwa na makamu wa Raisi.
Hapo vipi?
Yaah hata mimi namuombea mkuu !Yaani nimeshangaa na comments za humu.kama rais yupo ICU tumuombee apone haraka
Nawaombeni jamani msishangilie sana hii ishu ni mtego mmoja mkubwa sana umetegwa
Mtanishukuru baadae !
Naungana na wewe Britannicca kwenye maneno hayo, hasa huo mstari wa pili 'kuhusu mawazo,'Mungu akusimamie
Hata Kama nakuchukia sijafika hatua ya kuwaza wengi wanayowaza
Kila mtu uugua hata we we siyo chuma ni binadamu wa kawaida mwenye nyama kama sisi,
View attachment 1238709
Sweetie kuna nini?Acheni uchuro basi
Yaah hata mimi namuombea mkuu !
Ila apone aisee aone jinsi alivyoumiza mioyo ya watu.... !!
Kama anavyopendwa TL na familia yake.Hili nalo litapita.. kumbuka ni binadamu kama ulivyo wewe ana familia inamtegemea na kumpenda kama wewe samehe mara saba 70
Mzee hebu lala naona unaongea maruwe ruwe tuu hapaWatumishi wa umma wengi hawataki kuhamia Dodoma, Dua zao ni zoezi la kuhamia Dodoma life na mishahara iongezeke siyo zaidi hawana huruma na mtu wao wanaangalia masilahi yao pekee
Siku moja nitashukuru nikiona mjadala ulioanzisha kuhusu "Mapenzi yako na CCM" hii ya leo.Kabisa tuweke chuki pembeni hata kama CCM tuna siasa za chuki lakin tuweke pembeni tueneze upendo
Wewe ndiye mjinga kudhani Bashite atataabika endapo Mtukufu atakuwa hayupo mjengoniAcha ujingaww
Unaniuliza mimi?
Muulize Msigwa anajua Boss wake yuko wapi. Au jiulize why Makonda kaandika kisichojulikana leo
Ngapi ngapi mkuu,nani kafunga magoli.Taifa stars wameamua tena.Tayari huko mtu keshapendwa zaidi