Wezi wakubwa nchi ni viongozi waandamizi wa serikali na wanasiasa wazito! Ni hawa ndio wanashirikiana na mafisadi iliyokubuhu kutoka sekta binafsi!Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.
Wazalendo mafisadi ni wale CCM wanaokula 10% kwenye miradi yote mikubwa kuanzia chato Airport ujenzi wa reli flyover na ununuzi wa ndegeKumbe kuna mafisadi wazalendo! Ni kina nani hao, au ni wale waliojimilikisha nyumba za serikali, kununua kivuko kibovu na kulitia hasara taifa kwa kukatisha mikataba bila kufuata sheria?
Kwani bunge hutoa kibali cha kujenga Airport? Kazi ya Bunge ni kupitisha Bajeti iliyopelekwa na serikali
Na kama hataonekana akihudhuria kanisa lolote, unaweza kujua yuko wapi kwa sala nzito nzito watakazosali waumini (wote?) wa makanisa yote. Hiyo itakuwa ishara tosha.Tunasubiria wengi Kwa hamu kuona Missa ya kesho ambayo Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanganyika na Zanziba atakapoudhuria ibada
Watu watakusanyika sana na kumsililiza atasema nini
Kanisa likijulikana mapema litajaa kuzidi kawaida
Nawatakieni Ibada njema muungane na Rais kusali
Britannica
Kwani una taarifa gani mkuu!Hv kwann mm leo nafuraha sana kila napoingia twitter yaan kila nikijiforce huzuni haiji aiseee
Ila hata mm juzi nimeota ndoto ya majeneza majeneza ila sema siikumbuki km ikiwa kuna kitakachotoke wenyewe wanasema Fumilillah.
Itakuwa ishara ya nini?!Na kama hataonekana akihudhuria kanisa lolote, unaweza kujua yuko wapi kwa sala nzito nzito watakazosali waumini (wote?) wa makanisa yote. Hiyo itakuwa ishara tosha.
Huyo mwehu akumbuke Teuzi imekwisha apeleke Bangi zake huko gheto kwa le mutuz
Mwambie aache kumtesa tundu lisu pia aache kuwabambikia kesi wapinzaniMungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Dodoma ya Chamwino.Unasalia wapi Mkuu
Kiza kinene sioni pa kupapasa [emoji1781]
Official Date of Death 19/10/2019Naona mnazidi kuongeza taharuki nchini...
Ebu ngoja nisubiri tu kusikia wimbo wa taifa ukipigwa redioni kabla ya kutangaza habari kamili
Inabidi TL akamtembelee mgonjwa Berlin sio mbali japo yy alinyimwa kuombewa wala kutembelewa na wanachama wakeTumuombee hata kama ni wachache..πππππ’π’π’
Tupo pamoja nami nataka nijueHaki ya nani mi najitolea kukesha mpaka nijue nini kinaendelea aisee
Mabeberu yatamponya hawawezi kuchomoa betri wanamsubiri akamtembeleeHawa wazungu walivyo washenzi wasije kuwa wamechomoa kale ka pacemaker remotely baada ya mzee kuwabania makonikia