Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Huyu Mzee kila akienda Mtwara lazima apotee kama siku moja au mbili..

Sijui huwa ana mganga wake huko au vipi. Ila suala la kufa ni uzushi tu.

Nakumbuka kwenye kampeni zake alivyoingia Masasi akapotea siku nzima kesho yake hakusikika. Alivyoenda kufungua barabara na kutuliza wakulima wa korosho hivyohivyo alivyofika Masasi akapotea siku nzima. Na juzi hivyohivyo kapotelea Masasi.. Si bure anapikwa kwa fundi wake..
 
Mkiona Zero Brain yupo poa anaendelea na routine zake, mjue hamna kitu ni uzushi tu. Lakini mkiona Zero Brain hasomeki au hata analia ovyo na mikamasi juu, mjue tayari.
Zero brain ndo nani ?
 
Sikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
 
Sikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
Alifanya nini ? Naomba unipe details ili nitoe maoni yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom