Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magonjwa ya kawaida hususani uchovu wa ziara alizofanya siku za karibuni.Mmmh anaumwa nini
Upumbavu mtupu.nchi iendeshwe kwa tweet za wajinga? Mara wanadai kuna watu wana meli na kuuza unga.Ndio watu wawaamini?Itakuwa Janet mjamzito.
Bibie hujambo? Naona roho mtakatifu atakua karudia yale alofanya kwa mke wa JosefuItakuwa Janet mjamzito.
Hivi Nape alifanikiwa kumpata huyo binti ?Itakuwa Janet mjamzito.
Mmeshaanza kumwamini kigogo tena? Si mlimpotezea alipoisema Saccos yenu? Kweli nyinyi aliyewabatiza jina la wanyama wa Serengeti aliona mbali sana!Huyu hanaga mapenzi na meko
Ukiona hivyo ujue jiwe is doomed,or may be sooner than later
Janeth yupi bibi?Itakuwa Janet mjamzito.
Una positive thoughts sana yaani we bibiItakuwa Janet mjamzito.
Hahaha... Yani huyuuuKwann ume mtag uyo mzee nin Tafsir gan