Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Haya mambo kigogo apunguze au kama huwa yana kweli aminywe Arsene anazitoa wapi wengine tunaweza dawa za pressure bwana hill jambo sensitive hata kama inabidi unywe maji kwanza
 
Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!
Kuwa Mkuu wa nchi hakuna atakayekupenda.. Hata JK tunayemlilia sasa alichukiwa wakati wake..

Hata JPM akitoka kwenye hatamu atakumbukwa kwa mazuri atakayotuachia..
 
Kwani huku mtandaoni ndiyo watanzania wote walipo? Huku wamejaa wabeba mabox na mawakala.wa mafisadi!!
Katika hili nililosema halifai hata wangekuwa mia moja tuu, kwa nini sasa yatokee hayo na watu waseme bila hata ya kuona aibu?
 
Utaanza wewe na kama utakuwa karibu nami utajuta kuzaliwa!
Hamna shida mimi kuondoka, maisha yenyewe wanayoishi Watanzania walio wengi yako sawa na kifo tu. Kimsingi Jiwe ametuua tumebakiza pumzi tu.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli , Jiwe hapendwi. nimeshituka na watu walivyoshangilia hata kama ni JF tu maana huko nje ukionekana unapotezwa. Sample size hii ina reflect majority's views!
Utasubiri sana mpaka 2025 Magu yupo. Jipange kwa stress ya kufa mtu!!
 
Katika hili nililosema halifai hata wangekuwa mia moja tuu, kwa nini sasa yatokee hayo na watu waseme bila hata ya kuona aibu?
Watu kama hao wapo tu hata wakati wa mitume walikuwepo itakuwa dunia ya sasa!
 
Basi sawa ngoja tusubirie kama itakuwa pale uwanja wa mkapa au wa uhuru tukisononeka ama tukifurahia cha msingi tu iwe kwa ile namna ambayo itafanya nipate likizo ndefu maana kazi nazo zinachosha
 
Kwa kweli hatumpendi, na mumuambie kabisa kwamba siku amerudisha faili kwa God tunakesha tunakunywa.
1571416833130.png
 
Waache wafurahie, watakuja kumkumbuka siku moja

Watatamani Malaika wamludishe, jamani hamuoni raha siku hizi hata Mahakamani Haki zinaoatikana kwa Sababu ya mh raisi, hauitaji kujuana na kigogo yoyote ili upate Haki

Hautiji kimemo ili ushinde case naongelea walalaoi, sio mafisadi
TANESCO tu ni sababu moja.
Hakuna mgao.
 
Hamna shida mimi kuondoka, maisha yenyewe wanayoishi Watanzania walio wengi yako sawa na kifo tu. Kimsingi Jiwe ametuua tumebakiza pumzi tu.
Aaaah wakati mwingine tufikirie kabla ya kusema. Mungu mbariki rais wetu you have done a marvelous job ever done before. Wakati mwingine muache kutuharibia siku. Nimeogopa sana. Kumbe uongo na uzandiki.

Rais wetu mzima. Mungu akupe uhai umalize kazi ulizoanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom