Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Wadau mnajua walipo Marais hawa wastaafu wawili na muda huu mjadala wao moto unahusu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimepata amani ya moyo! sipendi mtu kunielewa vibaya, ubarikiwe. have a nice sunday!Usijali,ndugu yangu.
Kwani siku za nyuma utaratibu ulikuaje?Anaapisha lini?
Lahaula lakwata....
wapo kanisani (mkapa)Wadau mnajua walipo Marais hawa wastaafu wawili na muda huu mjadala wao moto unahusu nini?
Alikuwa na vijembe baba yule kama mzaliwa wa Pwani, na angekijua Kiswahili vizuri tungemkoma.Akiinuka huko alipo mtamkoma! Atawapiga vijembe vya uhakika!
tatum we nani useme hivyoNi siku ya tatu leo kumekuwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya watuamiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu afya ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania alipokuwa ktk ziara mikoa ya kusini.
Na wengine kufika mbali kabisa kwa kuzusha kabisa taarifa za kifo kitu ambacho baadhi ya wapinzani wa kasi ya awamu ya tano wamekuwa wakifurahi na kushangilia katika mitandao na kuleta taharuki majumbani na mitaani kiasi watu wengi kuuliza Nini kinaendelea.
Taarifa hizi zimekuwa zikitolewa na watz ndani na nje ya nchi wakati Ikulu haijatoa taarifa yoyote kuhusu kuwa Rais ni mgonjwa.
Nadhani tuna sheria na kanuni kuhusu kutoa taarifa hasa zinazohusu usalama wa nchi Sasa hawa wanaotoa taarifa za kuzusha tu toka katika chanzo ambacho hakijulikani na kuleta taharuki wanatakiwa kufanywa Nini na mamlaka husika kisheria.
Nadhani mamlaka husika Kuna haja ya kutoa mtu mmoja kama mfano ili liwe fundisho kwa wengine wenye nia kama hii.
Ukisoma mitandao ya kijamii ndiyo utajua Nini kinasambazwa na kuleta maneno chini kwa chini na taharuki mpaka makanisani watumishi wameanza maombi ya kukemea kinachoendelea.
Kama huna taarifa acha kuzusha taarifa na kama una taarifa sahihi basi jitoe muhanga kwa kutoa taarifa kamili inayoeleweka sio kutoa taarifa za kuwachanganya watz.
Watz wengi wanaelewa sana nia mbaya za watu kwa serikali hi na kama ndiyo kutafuta mtaji wa kura ktk uchaguzi wa November basi hapo mmepata zero kabisa.
Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.
Ni muhimu kuwa na taarifa za kweli kuliko uzushi.....tena wakome wote wenye nia mbovu na Serikali.
Wabongo wamemkalia kooni mzee Meko!
Mimi sio msemaji wa Ikulu. Wanaangalia hali. Ila as time goes on. Kama hali ikideteriorate,which we dont wish. Ndo itabidi waseme.
Mama Samia yeye ni namba2 kwa hiyo mlango wa Chumba namba moja umefunguka kwa kudra za jalali.
Sasa inakuaje unatumia wingi halafu unamtaja mtu mmoja?? Si ndio uchafuzi wa lugha yetu pendwa...wapo kanisani (mkapa)
Mzee ni mzima kabisa ila kinachompa ugonjwa wa moyo ni hizi comments zenu. Ivi mnamtaka rais wa namna gani? Legelege?
sitarudia kuchafuaSasa inakuaje unatumia wingi halafu unamtaja mtu mmoja?? Si ndio uchafuzi wa lugha yetu pendwa...
Titizo mshikaji alishajifananisha na malaika mkuu.., ; mteule aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania, nk.., hivyo anahisi kusema anaumwa ni kijidhalilisha.
Mkapa kasali wapi leowapo kanisani (mkapa)
Kesho yao hawaijui kabisa..Viongozi wetu wanatuona mazombie sn ndo maana wanatutukana kwenye majukwaa Mchana kweupee na hatuwafanyi kitu...