Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa
Well said kch wanatengene chuki za kijinga ndyo maan hata wanao hamia kwenye chama chao wanakimbia
 
Kupitia Acount ya Emmanuel Nchimbi ya Facebook , amekanusha kumfahamu Vicky Emmanuel Nchimbi na kumkana si mtoto wake na wala hamfaham
IMG-20191020-WA0006.jpeg
 
Tena ni tabia za kishetani kuwaombea wenzetu mabaya.
Kuna jamaa alikuwa anauliza "nani yule aliyetelekeza jimbo" anajifanya hamfahamu kwa jina wakati mwenzake amepoteza zaidi ya mwaka kitandani kutoka katika jaribio la kuuawa. Sio poa kwa kweli . Binafsi namuombea Heri Mr President. Vyovyote iwavyo naamini kuna la kujifunza kuhusu thamani ya UHAI.
 
Nadhani ni mwendo wa sisi raia kutayarishwa kisakolojia.
Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hakuna lililotokea na kwamba Raisi wetu yupo ofisini kama kawaida yake anatengua na kuchagua!
Sasa wameanza kutuaminisha kwamba ni kweli ameumwa na labda yuko kwenye hatua za kupatiwa huduma ya matibabu na labda ni kweli nje ya nchi!
Hatua itakayoufuata ni kujulishwa kwamba Mheshimiwa wetu ame... na hivyo mambo mengine yatafuatia baadae.
Kwa kumalizia tuwaombe tu waungwana kwamba sisi watanzania sasa tumekuwa wakubwa, sisi ni watu wazima sasa na si wajinga kihivyo mnavyotufikiria! haina haja ya kutupeleka hatua moja moja, I mean for God sake we can handle this!
Umenena vyema. Watueleze waache kuzunguka zunguka. We can. Yes we can. !!
 
Bila kujitambulisha Mimi ni. Nani kwa taarifa tu mh.RAis yupo salama wala haumwi ni mzima wa afya tele sema aliamua kupumzika kidogo baada uchovu wa ziara yake huko kusini ,na Leo tulikuwa nae tunapata chai ya asubuhi akiwa safiii kabisa hats mafua hana ,so msiwasiwasikilize hao wanaozusha zusha uongo.
 
Well said kch wanatengene chuki za kijinga ndyo maan hata wanao hamia kwenye chama chao wanakimbia
waendelee tu kusema kuna chuki,na wajitahidi kuzitengeneza,halafu wakikosa kura wanasema wameonewa,unavojenga chuki wananchi hawajui?nani anataka kufa kwa chuki mnazizijenga?
 
Ukiwa kiongozi wa Upinzani ambaye unataka support ya watu, public inatakiwa ikuone wewe una busara kuliko hao unawowapinga.
Ndio Serikali ilichokifanya kwa Lissu hakikuwa sawa hata kidogo, lakini public ilikuwa upande wa Tundu Lissu.
Sasa ukishangilia mambo kama haya unalipiza kisasi, lakini mbele ya public unaonekanaje?
Ndio unawapa credibility madai ya CCM kuwa nyie mnataka kumuua rais kwa kushirikiana na mabeberu, watu wataamini hayo
Mbona unashindwa kuona ishu kama hii?
Hivi Kuna kiongozi yeyote au msemaji yeyote wa Upinzani katoa Taarifa yeyote kuhusu haya?
 
Chuki ipo ushahidi hii picha ya lissu then ndu..gay anasema hajui alipo, Je, huo ni upendo kwa mujibu wenu #MATAGA?
2108469_IMG_20190708_112420_395.jpg
2108469_IMG_20190708_112420_395.jpg

ed8901ac246b6972b00f545d22c643e9.jpg

Then JIWE Anasema kwamba Jimbo lilitelekezwa!!
Na wazi ikijulikana kilichompata.
 
Usiseme watanzania sema mademu kama wewe sie tuna wapenzi wetu sio huyo mpenzi wako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom