Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Lisemwalo lipo na kama halipo laja. Haiwezekani kuitisha tu kikao cha baraza la Mawaziri eti Bwana mkubwa ameugua ghafla. Kikao hiki hakiitishwi hovyo eti kijadili afya ya mtu. Nadhani kuna kubwa zaidi ya hili.

Sasa nikiangalia viongozi wawili wa juu, kuna uwezekano mmoja wao kumrithi bwana mkubwa kwa kipindi cha mwaka moja uliobaki. Je wasawahili wanarudi tena ktk siasa zetu!

Let us wait the truth na muda utaongea.
Kumbe kuna binadamu wenye akili kiasi hiki.... Basi kumbe watanzania wanao uwezo mkubwaa wa kufikiri.... Sema hawajulikanagi... Hata ukitumia hisia tu unaweza kujua jambo...

Shida na yy alikufuru mbele ya viumbe wa mungu... Alisema kamsamehe nape madhambi yake... Sasa c mungu ndio anaye samehe mtu dhambi.. Mara aseme kama nikifa leo hakuna wa kuja kufanana na mm..

Mzee wangu kanisimulia kwamba, hata nyerere aliwahi kukufuru kwenye mkutano wa CCM kwamba hata rais wa awamu ya nne nitamuona... Atanikuta nikiwa hai... Ndio hivyo mungu akamchukua mapema...

Kwa jinsi ninavyomjua mungu wa kweli.. Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo... Mungu wa milele, mfalme wa wafalme... Bwana wa mabwana... Baba mtakatifu... Mungu aliye hai milele na milee... Alfa na omega... Huwa havumilii mtu anapochukua nafasi yake kwa wanadamu.... Immediately huwa anafanya jambo kukufundisha kama atakupenda... Au anakupa adhabu ya moja kwa mojaa.. Kama ataona huna muda wa kujifunza...

Hivi vitu vipo... Wala msijisahau... Kujimwambafy maana yake ni kujiinua na kuliko kawaida... Kikwete alisema alikuwa hujui kama katumiwa na mungu kumjulishaa. Mungu amsamehe kama nyie mtaonesha moyo wa kumuhitaji.... Kama mtamuombea mabaya kwa mungu.... Anaweza kuwajibu mpaka mkashangaa... But mm naomba mungu umpe muda tena kiumbe wako.... Ajifunzee... Usimchukue mungu wetu mwenye rehema... Unayetoa nafasi ya pili.... Tunaomba umpe muda tena.
 
Nimeanza na Konyagi Mbuzi anachomwa vizuuri kabisa na nimeongea na mtaalam wangu huko Tanga nimemwambia vipi hii akasema kitu cha Kusini kimezama deep

Nikamwambia kama anaweza na yeye kupigilia msumari wa moto akacheka sana
Bashite unaandika kama utani lakini Royo inakuuma huna uhakika na maisha yako Maria na mtoto Chupa kama kweli jiwe katangulia
 
Nimeanza na Konyagi Mbuzi anachomwa vizuuri kabisa na nimeongea na mtaalam wangu huko Tanga nimemwambia vipi hii akasema kitu cha Kusini kimezama deep

Nikamwambia kama anaweza na yeye kupigilia msumari wa moto akacheka sana
Akili yako fupi...
 
Tunasubiria wengi Kwa hamu kuona Missa ya kesho ambayo Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanganyika na Zanziba atakapoudhuria ibada

Watu watakusanyika sana na kumsililiza atasema nini

Kanisa likijulikana mapema litajaa kuzidi kawaida


Nawatakieni Ibada njema muungane na Rais kusali


Britannica
Leo alikuepo Mlima wa Moto🔥🔥🔥Mzee mwenzangu!
 
Nani kakwambia wananchi wote tunampenda?

Atleast myself hapa,will never like that nigga!

Never!
Only an African from Tanzania who migrated to USA will use that name, shame on you. BTW the majority of Tanzanians who migrated to USA are less qualified and failures in their lives when in Tanzania, that is why they are so bitter to see those who did well in Tanzania progress. They do not want fellow Tanzanians to see things which they can only dream about.
 
Tatum habar yako


Unadhan uongoz Wa jf hawalioni hili Kama tatzo ukiona hivyo ujue kuna wanachokifahamu ndio maana wapo kimya hawadelete post za dizain hiyo ambazo WWE unazipgia kelele

Mm Binafs nilijua wwe n mtu Mkubwa huko serikalin au chamani kumbe nawe n Kama mm hadi uambiwe cha kapost we hushangai had Leo Hakuna tamko lolote juu ya kukikemea chombo chochote cha habar juu ya hiz Taarifa

Anyway mwalimu wangu aliniambia muda n mwalimu mzur tusubiri
Mimi siongelei matamko ya Serikali Ila hakuna kitu kibaya kama kuzusha tu taarifa zisizo na chanzo chochote cha habari.

Kila kitu kinataratibu zake.Sasa hao watuambie taarifa nani amewapa na hakati hakuna taarifa serikali kwa umma kama sio kutaka kuleta taharuki kwa watz.

Lazima washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa

Wewe unadhani huko ulikoku - pinpoint kuwa ndiko kwenye chuki ulidhani ilianzaje?

Mimi ni mkristo na kila linalotokea ktk jamii siku zote hulitazama kwa mtazamo wa kiimani zaidi kwa kusikiliza Mungu anasemaje juu ya jambo hilo....

Kwa hiyo, naomba nikujibu kwa kunukuu maandiko toka Biblia takatifu:

Yakobo1:14,15
"....14 lakini MTU hujaribiwa na anapovutwa na kunaswa na TAMAA zake mbaya. 15 Tamaa ikiiva,huzaa dhambi nayo DHAMBI ikikomaa huzaa KIFO....." (BHN)


Sisi sote ni WATU na kwa hiyo andiko hili linatuhusu.

Lakini hebu tulitazame kwa muktadha wa kuuangalia uongozi wa nchi yetu chini ya TANU/CCM tangu 1961 hadi leo takribani miaka 68 sasa...

Viongozi hawa ni watu. Na mtu mkuu anayetuongoza leo kama RAIS anaitwa, Bw John Pombe Magufuli wa TANU/CCM...

Hoja muhimu sana ambazo huwa zinajadiliwa mara kwa mara na kutopata majibu na wakati mwingine ya kejeli ni hizi;

å Hivi ni kweli na hakika kabisa kuanzia serikali ya awamu ya 1, 2, 3, 4 na hii ya 5 chini ya TANU/CCM ziliongoza na kutawala nchi hii kwa HAKI ama kinyume chake?

å Mimi naamini hii iliyopo chini ya CCM na Rais Magufuli na zote zilizotangulia hazikutawala/ongoza nchi hii kwa HAKI kuanzia ktk michakato ya kuingia/kuchaguliwa na hata ktk ku - implement sera na mipango yake dhidi ya watu wa Mungu.....

å Kama ndivyo, maana yake ni kwamba kumbe ni TAMAA tu ya kundi dogo la watu (waliojipachika jina la "viongozi") ndiyo inayoweza kuchachua donge yaani nchi nzima....

Nchi hizo ulizozi pinpoint, hawakujikuta tu siku moja wako vile walivyo yaani kwenye machafuko kama ilivyo leo....

Mambo yalianza hivihivi kama mzaha kwa watu kuziamini kauli za ajabu ajabu za viongozi wenye UCHU na TAMAA zao mbaya za kutaka na kutaka tu zaidi na zaidi....

Kwa kuvutwa na kunaswa na TAMAA hizi, mwisho wa siku TAMAA hizo ziliiva/zilikomaa....

Baada ya TAMAA kuiva/kukomaa, then, DHAMBI (kuua, dhuluma, ujivuni, kujilimbikizia mali kwa kuibia masikini, utekaji, husuda nk nk) ikazaliwa....

Matokeo ya DHAMBI siku zote ni KIFO/MAUTI.....

Kwa sababu dhambi ilishakomaa na kisha ikazaa MAUTI/KIFO, basi ni wazi kabisa watu lazima watakufa sana kwa sababu ya MAKOSA ya viongozi hawa waliojazwa na kushiba TAMAA zao mbaya....

That's what is happening ni DR Congo, Somalia, Syria, and other parts of the Universe....

We, Tanzanians are not safe at all if we continue keeping quite by not telling our leaders to do and stand for JUSTICE....

Hapa TUNASEMA kama njia ya kuonya HATARI iliyopo mbele yetu kama hatutachukua hatua sasa....

Hatusemi tu kwa sababu eti tunayataka na kuyaita mabaya yatupate, la hasha....sivyo....

Hayo ni mawazo yako na kwa kweli ni dhana potofu tu....

The devil is always a liar.....!!


Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom