Tshala
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 281
- 110
Taharuki....Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taharuki....Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
Hakika mengi, Kama Tundu kaponaVipi jamaa akiponea tundu la Sindano? Ya Mungu mengi
Kumbe kuna binadamu wenye akili kiasi hiki.... Basi kumbe watanzania wanao uwezo mkubwaa wa kufikiri.... Sema hawajulikanagi... Hata ukitumia hisia tu unaweza kujua jambo...Lisemwalo lipo na kama halipo laja. Haiwezekani kuitisha tu kikao cha baraza la Mawaziri eti Bwana mkubwa ameugua ghafla. Kikao hiki hakiitishwi hovyo eti kijadili afya ya mtu. Nadhani kuna kubwa zaidi ya hili.
Sasa nikiangalia viongozi wawili wa juu, kuna uwezekano mmoja wao kumrithi bwana mkubwa kwa kipindi cha mwaka moja uliobaki. Je wasawahili wanarudi tena ktk siasa zetu!
Let us wait the truth na muda utaongea.
Mama samia yupo.JPM is here to stay.. bado tunamhitaji.
NimetokaTunakutakia ibada njema mkuu...
Bashite unaandika kama utani lakini Royo inakuuma huna uhakika na maisha yako Maria na mtoto Chupa kama kweli jiwe katanguliaNimeanza na Konyagi Mbuzi anachomwa vizuuri kabisa na nimeongea na mtaalam wangu huko Tanga nimemwambia vipi hii akasema kitu cha Kusini kimezama deep
Nikamwambia kama anaweza na yeye kupigilia msumari wa moto akacheka sana
Akili yako fupi...Nimeanza na Konyagi Mbuzi anachomwa vizuuri kabisa na nimeongea na mtaalam wangu huko Tanga nimemwambia vipi hii akasema kitu cha Kusini kimezama deep
Nikamwambia kama anaweza na yeye kupigilia msumari wa moto akacheka sana
Wewe sio miongoni mwetu maana sisi hujibu milele aminaAmeen
Mimi sio BashiteBashite unaandika kama utani lakini Royo inakuuma huna uhakika na maisha yako Maria na mtoto Chupa kama kweli jiwe katangulia
Ya kimakonde imetumalizia kazi.Akili yako fupi...
Leo alikuepo Mlima wa Moto🔥🔥🔥Mzee mwenzangu!Tunasubiria wengi Kwa hamu kuona Missa ya kesho ambayo Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanganyika na Zanziba atakapoudhuria ibada
Watu watakusanyika sana na kumsililiza atasema nini
Kanisa likijulikana mapema litajaa kuzidi kawaida
Nawatakieni Ibada njema muungane na Rais kusali
Britannica
Only an African from Tanzania who migrated to USA will use that name, shame on you. BTW the majority of Tanzanians who migrated to USA are less qualified and failures in their lives when in Tanzania, that is why they are so bitter to see those who did well in Tanzania progress. They do not want fellow Tanzanians to see things which they can only dream about.Nani kakwambia wananchi wote tunampenda?
Atleast myself hapa,will never like that nigga!
Never!
Mimi siongelei matamko ya Serikali Ila hakuna kitu kibaya kama kuzusha tu taarifa zisizo na chanzo chochote cha habari.Tatum habar yako
Unadhan uongoz Wa jf hawalioni hili Kama tatzo ukiona hivyo ujue kuna wanachokifahamu ndio maana wapo kimya hawadelete post za dizain hiyo ambazo WWE unazipgia kelele
Mm Binafs nilijua wwe n mtu Mkubwa huko serikalin au chamani kumbe nawe n Kama mm hadi uambiwe cha kapost we hushangai had Leo Hakuna tamko lolote juu ya kukikemea chombo chochote cha habar juu ya hiz Taarifa
Anyway mwalimu wangu aliniambia muda n mwalimu mzur tusubiri
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.
Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.
Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?
Nchi ipo salama kabisaa