Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Uafrika hasa utanzania ni LAANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sana Pascal Mayalla hiki ulichokiandika kinawezekana sana na sababu kubwa ni inferiority complex ambayo ilipandikizwa na wazungu wakituaminisha kuwa nchi yetu ni masikini, na sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo. Hii dhana ni potofu kabisa. Nchi hii imejaa watalaamu wa kila aina. Yaani fikiria unampeleka Mbunge Msukuma kwenda kujifunza ili aje ashauri mkataba wa ubia badala ya kuchukua wasomi vyuoni wa aina zote.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo
Watanzania Tujifunze Kujikubali kuwa Kuna Vitu Hauwezi, na Tunaposhindwa Tukubali Kusaidiwa au Tukomae?. Baada ya Bandari ni ATCL na SGR ua Tusubirie tushindwe ndio tuombe usaidizi?.
Inaendelea....
Paskali
Mbona tusiweze? Siku wanasiasa wakiondolewa majukumu ya kuteua CEOs wa Taasisi na badala yake vetting system ikatumika tutaweza! We angalia utashi wa Rais unavyofanya disruption ya routes za Air Tanzania kila siku! Sasa sijui customers' satisfaction and loyalty itatoka wapi?Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania wenyewe hatuwezi!, na inapptokea kuna vitu hatuwezi, tunapojaribu tukashindwa, lazima tujikubali hili tumeshindwa, hatuwezi!. Swali ni unaposhindwa kuna ubaya wowote kubali kusaidiwa au tuendelee tuu kujitutumua tukomae tuu mpaka tuweze?
Kiukweli kabisa uamuzi wa kulipa kampuni ya Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, Dar Port, ni uamuzi sahihi, na kwa maoni yangu, baada ya Bandari, hata ATCL peke yetu hatuwezi, lazima tongue ubia!. Tukija kwenye SGR ndio kabisa!
Kuna vitu Watanzania hatuwezi na tunashindwa sio kwasababu ni vilaza, au hatuna uwezo, tunashindwa kwasababu tuu hatujui kutazama mbali!
Mfano saa hizi tuko busy kujenga SGR, lakini hatuna mkakati wowote ua Tusubirie tushindwe ndio tuombe usaidizi?
Inaendelea....
Paskali
Kama una copy ya huo mkataba tuwekee hapa tuone unasemaje kwanza.Wanabodi,

Kwa maana hiyo umeconclude kuwa kwa vile sisi hatuwezi pia kizazi chetu kwa miaka 100 ijayo nacho hakitaweza ....!!Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania wenyewe hatuwezi!, na inapptokea kuna vitu hatuwezi, tunapojaribu tukashindwa, lazima tujikubali hili tumeshindwa, hatuwezi!. Swali ni unaposhindwa kuna ubaya wowote kubali kusaidiwa au tuendelee tuu kujitutumua tukomae tuu mpaka tuweze?
Kiukweli kabisa uamuzi wa kulipa kampuni ya Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, Dar Port, ni uamuzi sahihi, na kwa maoni yangu, baada ya Bandari, hata ATCL peke yetu hatuwezi, lazima tongue ubia!. Tukija kwenye SGR ndio kabisa!
Kuna vitu Watanzania hatuwezi na tunashindwa sio kwasababu ni vilaza, au hatuna uwezo, tunashindwa kwasababu tuu hatujui kutazama mbali!
Mfano saa hizi tuko busy kujenga SGR, lakini hatuna mkakati wowote ua Tusubirie tushindwe ndio tuombe usaidizi?
Inaendelea....
Paskali
Sasa yakibinafisishwa unadhani itasaidia nini,Mashirika mangapi yamebinafisishwa na Mkapa Leo yapo wapi??????????Natamani mashirika haya yafuatayo nayo yabinafsishwe haraka:-
DART
TANESCO
TRC
ATCL
TTCL
POSTA
Watanzania bado uwezo wetu upo chini sana.
Kaka kushindwa kwa serikali hiii wajiuzuru. Kwanini awamu ya Tano waweze awamu ya Sita wanashindwa. Watanzania tunaburuzwa si kwamba hatuwezi. Si kwamba wakiwekwa watu wengine Bandari haitaleta Tija. Ni kwamba wameshindwa waondoke.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania wenyewe hatuwezi!, na inapptokea kuna vitu hatuwezi, tunapojaribu tukashindwa, lazima tujikubali hili tumeshindwa, hatuwezi!. Swali ni unaposhindwa kuna ubaya wowote kubali kusaidiwa au tuendelee tuu kujitutumua tukomae tuu mpaka tuweze?
Kiukweli kabisa uamuzi wa kulipa kampuni ya Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, Dar Port, ni uamuzi sahihi, na kwa maoni yangu, baada ya Bandari, hata ATCL peke yetu hatuwezi, lazima tongue ubia!. Tukija kwenye SGR ndio kabisa!
Kuna vitu Watanzania hatuwezi na tunashindwa sio kwasababu ni vilaza, au hatuna uwezo, tunashindwa kwasababu tuu hatujui kutazama mbali!
Mfano saa hizi tuko busy kujenga SGR, lakini hatuna mkakati wowote ua Tusubirie tushindwe ndio tuombe usaidizi?
Inaendelea....
Paskali
Hayo yalishabinafsishwa yakafeliNatamani mashirika haya yafuatayo nayo yabinafsishwe haraka:-
DART
TANESCO
TRC
ATCL
TTCL
POSTA
Watanzania bado uwezo wetu upo chini sana.
Mzee pascal Kwa nini hatusomeshi watu wetu kwenye hiyo Nyanja ?Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania wenyewe hatuwezi!, na inapptokea kuna vitu hatuwezi, tunapojaribu tukashindwa, lazima tujikubali hili tumeshindwa, hatuwezi!. Swali ni unaposhindwa kuna ubaya wowote kubali kusaidiwa au tuendelee tuu kujitutumua tukomae tuu mpaka tuweze?
Kiukweli kabisa uamuzi wa kulipa kampuni ya Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, Dar Port, ni uamuzi sahihi, na kwa maoni yangu, baada ya Bandari, hata ATCL peke yetu hatuwezi, lazima tongue ubia!. Tukija kwenye SGR ndio kabisa!
Kuna vitu Watanzania hatuwezi na tunashindwa sio kwasababu ni vilaza, au hatuna uwezo, tunashindwa kwasababu tuu hatujui kutazama mbali!
Mfano saa hizi tuko busy kujenga SGR, lakini hatuna mkakati wowote ua Tusubirie tushindwe ndio tuombe usaidizi?
Inaendelea....
Paskali
Alibinafsisha na kuwapa watanzania unategemea ninMkapa alibinafsisha mashirika ya Umma mengi sana,Leo yote yamekufa-unadhani ni kwa nini??????
Trc ilipewa watanzania? Tanesco? Atcl?Alibinafsisha na kuwapa watanzania unategemea nin
braza jifunze kujipambania mwenyewe na kutomtegemea mtu ipo siku utasaidiwa mpka kwa mkeo amini maneno yanguWanabodi,