Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

Acha kulala kama mtoto wa kike
 
Fikra mfu za mtu aliye kufa! Tulikua tumeingizwa chaka sana na ‘uzalendo’ huu wa kijinga! Kama tunajiweza, Kwanini na Sisi tusipishane na hao wawekezaji, tukawekeze kwao, badala ya kuendesha Bodaboda?!
Mlitaka kuturudisha kwenye ujima, kisa tu chuki zenu kwa wazungu?! Uwekezaji bado, subiri mtawekezwa mpaka mkome terrorism ya watali nyinyi
 
Haiwezekani rais akamsikiliza kila mtu, litakuwa ni soko kama la Kariakoo. Kila mjuaji akiwa anasikilizwa hiyo sio nchi tena.
Nani kasema kila mtu ?

Nimeongelea wadau na wataalamu lazima nchi iwe ina Dira long term ambapo watu walishakaa na ku-propose ni wapi na vipi tunakwenda kinachobaki ni kurekebisha na kufanya fine-tuning huku kila kinachofanyika upande wa Mikataba kiende Bungeni ili kichujwe (kuepuka watu kutupiga au kujinufaisha) After all Rais ni Binadamu na sio Malaika (She / He can be Corruptible) checks and balances are needed
 
Hiyo ni dira ndio inafanyiwa kazi na serikali. Hao watu wapo na ndio washauri wa masuala ya uchumi. Hizo checks and balances zipo.

Tatizo ni mindset ya kudhani tunaibiwa kila idara. Tunakuwa so inferior kwenye kila kitu.
 
Once Bitten twice Shy....

Fool me Once Shame on You.., Fool me Twice Shame on Me.....

Kuepuka hayo we Need Transparency.... (bila transparency, Tuliibiwa, Tunaibiwa na tutaendele Kuibiwa)
 
Umeshasema kuwa ni watu wenye IQ kubwa duniani, lakini bado unajiuliza wao waliwezaje! Akili za ccm hizi
 
Once Bitten twice Shy....

Fool me Once Shame on You.., Fool me Twice Shame on Me.....

Kuepuka hayo we Need Transparency.... (bila transparency, Tuliibiwa, Tunaibiwa na tutaendele Kuibiwa)
Wasilisha hoja yako kupitia mwakilishi wa jimbo lako bungeni ili ifanyiwe kazi. Vinginevyo ni mazungumzo baada ya habari.
 
Jiwe alikuwa mwizi na muuaji. Kalitia Taifa hasara sana. Una mawazo mgando kama Jiwe mwenyewe.
 
Unaeza kuta hapo unaomba proposals upate funds za biashara .Anyway Rasilimali zipo mikataba mibovu hatunufaiki! Hayati alikopa zake kimyakimya, kuendesha nchi ni ngumu achana na stori za vijiweni
 
Wasilisha hoja yako kupitia mwakilishi wa jimbo lako bungeni ili ifanyiwe kazi. Vinginevyo ni mazungumzo baada ya habari.
You mean wale Cheerleaders wanaosifu na kukubali kila kinachofanyika Au Bunge ambalo ni Rubber Stamp ya Serikali ?

Huko ndio tutapata transparency ?, Tatizo linaendelea mpaka hapa kwenye mjadala badala ya kuangalia wapi tumekosea tunajitahidi kutetea hata ambavyo havipo sawa
 
Mkuu hao hao cheerleaders ndio wenye kubadili sheria, usipowaamini ni kama unapaka rangi upepo, unakuwa unalalamika tu humu jukwaani.
 
Mkuu hao hao cheerleaders ndio wenye kubadili sheria, usipowaamini ni kama unapaka rangi upepo, unakuwa unalalamika tu humu jukwaani.
Utaamini watu wasioaminika wala wasiopewa chance ya kujinafasi..., Ukijaribu kwenda tofauti yanakukuta yaliyomkuta Ndugai...

Hapo utaniambia tuna Bunge ? Je ni bora kujua uhalisia au kujipa Hope kwamba things are Okay wakati ni Otherwise ?
 
Kwani Nyerere yeye ndo nani mpaka ionekane eti alituusia sijui alituachia Rasilimali...Nyerere ndo chanzo hasa cha shida nyingi tulonazo
Una akili na mawazo kama sukuma gang
 
Hiyo mali sasa kwan ukonayo pekee yako ?
 
Tofauti na kilimo unadhani wana option gabi nyingine?
 
Utaamini watu wasioaminika wala wasiopewa chance ya kujinafasi..., Ukijaribu kwenda tofauti yanakukuta yaliyomkuta Ndugai...

Hapo utaniambia tuna Bunge ? Je ni bora kujua uhalisia au kujipa Hope kwamba things are Okay wakati ni Otherwise ?
Ndugai alileta uhasama na dharau kwa jinsia ya Rais wa sasa. Akajisahau badala ya kuongelea Bar akaongea mbele ya kadamnasi na kila mtu akamsikia.

Tunataka maendeleo, yawe yanaletwa na wazalendo ni sawa, yawe yanakuja kwa ushirikiano wa watu wa ndani na wa nje yote sawa tu.
 
Hivi kumbe kuna watu walikuwa wanaamini yale maneno ya Jiwe
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Umeshasema kuwa ni watu wenye IQ kubwa duniani, lakini bado unajiuliza wao waliwezaje! Akili za ccm hizi
U'll always understand things out of context mpaka utafuniwe I guess, so ulitegemea nianze kusema Singapore ilikuwa nchi masikini sana duniani kama Tanzania, mpaka walitaka kuiuza nchi yao kwa Malaysia, ilikuwa nchi ambayo haikuwa hata 100 ya nchi zenye watu wenye IQ kubwa baadae....ndio ulikuwa unataka ni tiririke kuondoa ignorance yako,? Sina huo mda, kama hauwezi elewa mambo contextually that ain't my problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…